Radio Tadio

ukatili

9 July 2026, 11:44 am

Penina: Vita dhidi ya ukatili jukumu la kila mtu

Dhana ya “Kupinga ukatili wa Kijinsia mahali ulipo” inatokana na ukweli kwamba vitendo vya ukatili hufanyika ndani ya familia na jamii tunazoishi nazo kila siku. Na Edward Lucas Mwenyekiti wa Jukwaa la Kupinga Ukatili wa Kijinsia Mkoa wa Mara (LeMaChU),…

4 June 2026, 4:21 pm

Mamire yasisitiza bajeti jumuishi

Wanakikundi cha taarifa na maarifa kutoka kata ya Mamire Wilayani Babati Mkoani Manyara wamezipongeza wizara za Afya, Elimu na maji kwa kuweka kipaumbele mrengo wa jinsia  kwenye bajeti zao ambazo zilishawasilishwa kwenye Bunge la 13 linaloendelea huko Jijini Dodoma.  Na…

25 November 2025, 2:56 pm

Mchakato ulipaji fidia eneo la GGML waanza

Ni zaidi ya miezi miwili sasa tangu agizo la serikali kupitia wizara ya madini kuelekeza malipo ya fidia kwa wananchi wanaozunguka mgodi wa GGML. Na: Edga Rwenduru Hekari 2790 kati ya Hekari 3900 za ardhi tayari zimefanyiwa uthamini kwa ajili ya…

11 December 2023, 17:08

Ahukumiwa miaka 105 kwa makosa ya ulawiti na ubakaji uvinza

Wahukumiwa kwa makosa ya ulawiti na ubakaji Kigoma. Na Josephine Kiravu. Katika kuendelea kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto, Mahakama ya wilaya Uvinza imemhukumu kifungo cha kwenda jela miaka 105 Wangala Maganga baada ya kutiwa…

7 December 2023, 20:59

Nguvu iongezwe katika elimu dhidi ya ukatili kwa watoto

Bado tupo katika siku 16 za kupinga ukatili na leo tutaangazia yafuatayo. Na Mariam Matundu. Ikiwa bado maadhimisho ya siku 16 yanaendelea ,imeshauriwa kuwa nguvu kubwa iongozwe katika kutoa elimu ya ukatili kwa watoto ili kuwajengea uwezo wa kutambua na…

28 November 2023, 18:11

Muendelezo wa Siku 16 za kupinga ukatili

Na Mariam Matundu. Tukiwa bado katika siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia leo tunakuuliza ni njia gani ya haraka unaweza kuitumia kuripoti vitendo vya ukatili ? Leonard mwacha amezungumza na mkuu wa dawati la jinsia na watoto mkoa wa…