Radio Tadio

Fahari

4 October 2024, 8:08 pm

Mkonze yajiimarisha kiulinzi kudhibiti mauaji na uhalifu

Na Nazaaeli Mkude Kufuatia tukio la mauaji  la mama na binti lililotokea mnamo tarehe 19 Septemba mwaka huu  katika kata ya Mkonze mtaa wa Muungano A, kata ya Mkonze, Jijini Dodoma, hali ya ulinzi imeimarishwa ili kudhibiti uendelevu matukio hayo…

30 September 2024, 7:11 pm

Wanne mbaroni tuhuma za mauaji Dodoma

Na Nazael Mkude. Watu wanne wanashikiliwa na  Jeshi la Polisi kwa tuhuma  za matukio ya mauaji yaliyofanyika kwa nyakati  na muda tofauti ndani ya Jiji la Dodoma. Akiongea na waandishi wa habari jijini Dodoma, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma George Katabaz…

13 September 2024, 7:28 pm

Taharuki ya simba Nzuguni

Dodoma ni sehemu ya mapitio ya wanyama pori hivyo suala la uwepo wa wanyama pori katika baadhi ya maeneo litaendelea kujitokeza. Na Thadei Tesha. Afisa Maliasili wa Jiji la Dodoma Bw. Vedasto Millinga amekiri uwepo wa baadhi ya wanyama pori…

19 July 2024, 4:45 pm

Ujenzi wa kituo cha polisi Chang’ombe kuimarisha ulinzi

Kata ya Changombe ina wakazi wapatao elfu 39000 lakini haikuwahi kuwa na kituo cha polisi na kukamilika kwa ujenzi huu kutaendelea kuiweka kata ya changombe katika hali ya usalama. Na Mindi Joseph.Ujenzi wa kituo cha Polisi katika Kata ya Chang’ombe…

20 July 2023, 5:06 pm

Ifahamu maana halisi ya jina Bahi

Kila jina huwa na maana au asili je jina Bahi lina maana gani na asili yake ni nini? Na Yussuph Hassan. Wilaya ya Bahi ni mojawapo kati ya wilaya saba za mkoa wa Dodoma. Wilaya hii ilianzishwa rasmi mwaka 2007…

22 May 2023, 4:21 pm

Fahamu jinsi maziko ya watu wa kale yalivyofanyika

Chifu Chihoma alipata wasaa wa kutuelezea kuhusu uzikaji wa watu wa kale ulivyo kuwa unafanyika. Na Mariam Kasawa. Mtazamaji wa Fahari ya Dodoma bado tunaendelea kukujuza mambo mbalimbali hususani historia za kale lengo letu likiwa ni kukuonesha fahari zilizopo hapa…

22 January 2023, 10:47 am

Aina za Zabibu

Na; Yussuph Hassan. Je unazifahamu aina za zabibu? Msikilize Yussuph Hassan katika Fahari ya Dodoma akikufahamisha aina hizo.