Radio Tadio

SGR

14 Aprili 2026, 18:34

Tembo wakatisha  vikao vya maendele ya kijiji Chinugulu

Inaelezwa kuwa vitongoji hivyo vilivyo karibu na pori hilo la akiba havifikiwi na viongozi wake mara kwa mara. Na Victor Chigwada. Viongozi wa Kijiji cha Chinugulu wilayani Chamwino wameeleza kushindwa kuvifikia baadhi ya vitongoji wanavyo viongoza kutokana na uwepo wa…

23 Aprili 2025, 18:13

Afariki Dunia baada ya kukanyagwa na Tembo

Ikumbukwe kuwa hili ni tukio la Nne la Mwananchi kuuliwa na tembo katika kata ya Chifutuka ambapo Tembo wamekuwa wakitoroka katika hifadhi za kuingia katika makazi ya wananchi licha ya Askari wa TAWA kufanya jitihada za kuwafukuza katika maeneo ya…

1 Juni 2023, 13:50

Serikali kufanya majaribio ya treni ya mwendokasi Julai

Hayo yamesemwa na msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma. Na Alfred Bulahya. Serikali inatarajia kufanya majaribio ya treni ya mwendokasi (SGR) ifikapo mwezi Julai mwaka huu badala ya mwezi Mei kama ilivyotangazwa…

26 Aprili 2023, 15:01

Operesheni ya kukamata wezi wa vyuma yaendelea Mpwapwa

Katika oparesheni hiyo ametoa muda kwa wale wote walio uziwa vyuma hivyo bila kujua wavikabidhi kwa watendaji. Na Fred Cheti. Mkuu wa Wilaya ya Mpwampwa Mhe.Sophia Kizigo amesema wanaendelea na operesheni maalum ya kukamata watu wanaoiba vyuma vilivyofungwa kwenye minara…