Radio Tadio

MALEZI

5 February 2024, 6:47 pm

Jamii yatakiwa kujitokeza kusaidia malezi

Kuna watoto wengi kwenye wanapitia changamoto ya kupata malezi inayotokana na ugumu wa maisha pamoja na wengine kukosa wazazi. Na Fred Cheti.Wito umetolewa kwa jamii kujitokeza kusaidia katika malezi kwa watoto wenye uhitaji wa huduma hiyo kwa kuwachukua na kuwapatia…

8 January 2024, 16:43

Wazazi kushirikiana tiba ya upendo kwa mzazi mmoja

Baadhi ya wazazi wakiume wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kushirikiana na wazazi wa kike kuzilea familia zao na kuacha kuzitelekeza hali inayopelekea baadhi ya watoto kuwa na mapenzi na mzazi mmoja. Rai hiyo imetolewa na Mchungaji kiongozi wa kanisa la…

7 November 2023, 19:05

Wazazi waonywa kuwaozesha watoto kwa wachimba madini Chunya

Na Samweli Mpogole Wazazi na walezi wilaya ya Chunya wametakiwa kuacha tabia ya kuwafanyisha kazi watoto katika shughuli za uchimbaji madini na kuwaozesha wakiwa bado masomoni badala yake wawasimamie katika masomo yao. Wito huo umetolewa na Makamu Mwenyekiti wa halmashauri…

31 October 2023, 8:55 pm

Wazazi watakiwa kufuatilia mienendo na malezi ya watoto wao

Wazazi na walezi wilayani Sengerema mkoani Mwanza wanatajwa kujali zaidi shughuri zao binafsi na kuonyesha kulitegea mgongo suala la malezi kwa watoto, huku wenginge wakiwaachia watoto kuwalea watoto wenzao. Na:Emmanuel Twimanye. Wazazi Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza  wametakiwa   kutimiza jukumu la…

12 January 2023, 2:22 pm

Jamii na dhana ya kubemenda mtoto

Na; Mariam kasawa Dhana ya kubemenda mtoto ni dhana ambayo imekuwa ikiaminiwa na jamii nyingi za Afrika hususani Nchini Tanzaniaa. Makabila tofauti yamekuwa na utaratibu wao pindi mama anapo jifungua na wakati wa kulea mtoto baba na mama hufundishwa na…

8 July 2022, 14:28 pm

MAKALA: wananchi wakerwa na tabia za kuwatupa watoto

Utupaji wa watoto wachanga mara baada ya kuzaliwa limekuwa ni tukio la kikatili ambalo kwasasa limeonekana kushamili katika jamii katika nchi za kiafrika. Katika tukio la hivi karibuni lililotokea katika msitu uliopo kata ya Naliendele, Jamii fm imeangazia tukio hilo…