Radio Tadio
Unyanyapaa
6 October 2023, 11:16 am
Wanawake wenye ualbino walalamikia kunyanyapaliwa kwenye mahusiano
Jamii mkoani Tabora imeaswa kuondoa dhana potofu dhidi ya wanawake wenye ualbino pindi wanapohitaji kuingia kwenye ndoa. Zaituni Juma ametuandalia taarifa zaidi baada ya kuwatembelea baadhi ya wanawake na viongozi wa chama cha watu wenye ualbino TAS – Tabora