Uyui FM Radio

Wanawake wenye ualbino walalamikia kunyanyapaliwa kwenye mahusiano

6 October 2023, 11:16 am

Jamii mkoani Tabora imeaswa kuondoa dhana potofu dhidi ya  wanawake  wenye  ualbino pindi wanapohitaji kuingia kwenye ndoa.

Zaituni Juma ametuandalia taarifa zaidi baada ya kuwatembelea baadhi ya wanawake na viongozi wa chama cha watu wenye ualbino TAS – Tabora

Baadhi ya wanawake wenye ualbino wakiwa na Katibu wa TAS-Tabora.Picha na Ramadhani Mlamba