Uyui FM Radio

Aoza pua baada ya kupondwa na kokoto

4 July 2023, 2:28 pm

Na Amos Inega

Minga Rajabu mkazi wa kijiji cha Kazima kata ya Ifucha Manispaa ya Tabora ameomba msaada kwa wasamalia wema baada ya kuishi kwa maumivu zaidi ya miaka 10 kutokana na kuoza pua baada ya kujeruhiwa na kipande cha jiwe wakati akiponda kokoto.

Minga Rajabu akiwa nyumbani kwake.Picha na Ibrahim Haruna