Recent posts
11 November 2024, 4:38 pm
Mradi wa EPPCO kupunguza adha ya maji Ulyankulu Tabora
Mradi wa EPPCO utagharimu zaidi ya shilingi milioni 912 hadi kukamilika kwake Na Zaituni Juma Serikali ya mkoa wa Tabora imesema kuwa mradi wa EPPCO unaoratibiwa na shirika la Caritas Tabora utakwenda kuwanufaisha wananchi kwa kurahisisha upatikanaji wa huduma ya…
7 November 2024, 7:24 pm
Watu 14 wafariki kwenye ajali ya gari Tabora
Wananchi wamesisitizwa kupaza sauti pindi wanapoona madereva wanahatarisha usalama wao kwa kutozingatia sheria za usalama barabarani Zaituni Juma Watu 14 wamefariki dunia na wengine 9 kujeruhiwa kwenye ajali ya barabarani iliyohusisha gari ya abiria aina ya Toyota Hice yenye namba…
5 November 2024, 4:07 pm
Wanafunzi 27,114 kurudishwa shuleni kuendelea na masomo
Wanafunzi hao wanaotakiwa kurudi shuleni kuendelea na masomo ni wa shule za msingi pekee zilizopo mkoani Tabora Na Zaituni Juma Serikali mkoani Tabora imedhamiria kuwarudisha shuleni Jumla ya wanafunzi elfu 27,114 wa shule za msingi ambao wako nje ya mfumo…
23 October 2024, 4:48 pm
Watumishi wa umma watakiwa kuzingatia uadilifu
Mfumo mpya wa manunuzi NEST umetajwa kuondoa urasimu na kuongeza uwajibikaji. Na Nyamizi Mdaki Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amezitaka taasisi zinazojihusisha na manunuzi mbalimbali kuzingatia maadili wakati wa kusimamia na kugawa zabuni zinazotangazwa. Mkuu wa Mkoa ameeleza…
18 October 2024, 2:52 pm
Viongozi wa dini Tabora wahamasisha uandikishaji
Zoezi la kujiorodesha katika daftari la mpiga kura kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa linafikia tamati oktoba 20 mwaka huu. Na Nyamizi Mdaki Wananchi Mkoani Tabora wakumbushwa kwenda kujiandikisha ili wapate sifa za kuwachagua viongozi wanaowahitaji. Rai hiyo imetolewa…
17 October 2024, 5:01 pm
Dc Mtulyakwaku: Nendeni mkajiorodheshe mpate viongozi bora
Na Nyamizi Mdaki Mkuu wa Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora Mohamed Mtulyakwaku amesema nyumba nzuri inaendana na msingi imara hivyo wananchi wanapaswa kujiorodesha kwenye daftari la orodha ya wapiga kura ili wapate viongozi bora. Mtulyakwaku ametoa rai kwenye uzinduzi wa…
27 September 2024, 4:39 pm
Auawa katika purukushani na Jeshi la Polisi
Wananchi wamesisitizwa kuendelea kutoa taarifa za uhalifu kwa jeshi la polisi ili kudhibiti vitendo hivyo. Na Nyamizi Mdaki Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 27 mkazi wa Usinge Mkoani Tabora John Machibya ameuawa katika purukushani na jeshi la polisi. Kamanda…
26 September 2024, 10:40 am
Kamati ya siasa Uyui yaridhishwa na mradi wa maji
Kamati ya siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Uyui inafanya ziara ya ufuatiliaji na ukaguzi wa miradi inayotekelezwa na serikali katika majimbo ya Tabora Kaskazini na Igalula. Na Nyamizi Mdaki Kamati ya siasa ya Halmashauri kuu ya CCM…
24 September 2024, 4:32 pm
Shilingi milioni 10 zachangwa na wananchi kujenga daraja
Katika eneo hilo wananchi wamekuwa wakipata tabu ya kuvuka hususasni kipindi cha masika na kusababisha maafa ya watoto,kuibiwa na vitendo vya ukatili wa kijinsia. Na Salma Abdul Wananchi wa kata ya chemchem Manispaa ya Tabora wamechangia fedha na nguvu kazi…
9 September 2024, 2:22 pm
Wakazi wa Ufunga Manispaa ya Tabora waamua kujenga daraja la miti
Uamuzi wa kujenga daraja hilo ulipitishwa kwenye mkutano wa kijiji kutokana na adha kubwa ya kuvuka katika eneo hilo hasa kipindi cha masika. Na Zaituni Juma. Wakazi wa kitongoji cha Ufunga kijiji cha Tumbi Manispaa ya Tabora wameanza ujenzi wa…