Uyui FM Radio

Recent posts

21 August 2023, 5:55 pm

Jukumu la afya ya uzazi si la mama peke yake-Dkt. Festo Mnyiriri

Na Zaituni Juma Wanaume katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora wamekumbushwa kujali afya ya mama mjamzito na hata baada ya kujifungua. Zaituni Juma ametuandalia taarifa ambayo imelenga ushiriki wa wazazi wote wawili  (baba na mama)  kwenda kliniki kwa pamoja hasa …

18 August 2023, 6:02 pm

Miaka 15 jela  kwa kusababisha kifo akijifanya daktari wa upasuaji

Mahakama kuu kanda yaTabora imetoa hukumu ya kifungo cha miaka kumi na Tano jela kwa Amos  Mathias. Na Salma Abdul. Amos Mathias  mkazi wa Kijiji cha Nhungulu wilayani Nzega  amehukumiwa na Mahakama kuu kanda yaTabora kifungo cha miaka kumi na…

18 August 2023, 5:27 pm

Madiwani watakiwa kupambania chakula shuleni

Madiwani wamesisitizwa kuhakikisha upatikanaji wa chakula shuleni unazingatiwa. Mkuu wa wilaya ya Igunga Sauda Mtondoo amewataka madiwani kushirikiana na walimu kuhakikisha chakula kinapatikana shuleni ili wanafunzi wapate muda wa kutosha wa kujifunza. Amesema hayo akiwa kwenye kikao cha baraza la…

18 August 2023, 4:58 pm

Muuguzi aliyetuhumiwa kubaka abainika hana hatia, aachiwa  huru

Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Sikonge imemwachia huru afisa muuguzi aliyekuwa akituhumiwa kwa ubakaji baada ya Jamhuri kushindwa kuthibitisha tuhuma hizo hivyo kuonekana hana hatia. Na Salma Abdul Muuguzi wa daraja la pili katika hospitali ya wilaya ya Sikonge…

14 August 2023, 4:32 pm

Wawili mbaroni tuhuma kifo cha mwanafunzi wa chuo

Watu wawili wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa chuo cha Tabora polytechic ambae alipotea kwa takribani siku kumi. Na Salma Abdul Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora kamishna msaidizi Richard Abwao amesema kuwa tukio…

4 August 2023, 3:46 pm

”Wananchi toeni taarifa za uhalifu kwasababu Polisi ni wachache” -D…

Wananchi wameombwa kufichua taarifa za wahalifu kufuatia kuwepo kwa idadi ndogo ya askari Polisi. Na Salma Abdul. Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, Naibu Kamishna wa Polisi DCP Maria Nzuki ameomba ushirikiano wa wananchi katika kutoa taarifa za vitendo vya uhalifu kwa Jeshi la…

4 August 2023, 3:15 pm

Wakulima Kanda ya Magharibi watakiwa kushiriki maonesho ya nanenane

Mkuu wa mkoa wa Tabora amesema maonesho ya nane nane yanalenga kujifunza mbinu mbalimbali za kilimo bora. Na Omary Khamis Wakulima kanda ya magharibi wametakiwa kushiriki maonesho ya nanenane ili   kujifunza mbinu bora zitakazo wasaidia kuvuna mazao mengi na kupata…

14 July 2023, 11:10 am

Migange aitupia lawama Mashujaa FC

Aliyekuwa kocha wa klabu ya mpira wa miguu ya Mashujaa FC Meja Mstaafu Abdul Migange amelaumu uongozi wa timu hiyo kutokana na kitendo cha kumuacha baada ya kuipandisha Ligi kuu ya Tanzania Bara Na Mussa Nkoningo Kocha aliyeipandisha timu Ya…

13 July 2023, 11:49 am

Baiskeli 58 zatolewa kwa vikundi vya wanawake UWT Tabora

Jumla ya baiskeli 58 zimetolewa na kugawiwa; baiskeli mbili kila kata kwa vikundi vya wanawake UWT pamoja na vijana mkoani Tabora  ili kuwasaidia kujikwamua kiuchumi. Na Zaituni Juma Mbunge wa viti maalum mkoani Tabora Munde Tambwe amesema baiskeli hizo zilizotolewa…

4 July 2023, 2:28 pm

Aoza pua baada ya kupondwa na kokoto

Na Amos Inega Minga Rajabu mkazi wa kijiji cha Kazima kata ya Ifucha Manispaa ya Tabora ameomba msaada kwa wasamalia wema baada ya kuishi kwa maumivu zaidi ya miaka 10 kutokana na kuoza pua baada ya kujeruhiwa na kipande cha…

Sample Page

This is an example page. It’s different from a blog post because it will stay in one place and will show up in your site navigation (in most themes). Most people start with an About page that introduces them to potential site visitors. It might say something like this:

Hi there! I’m a bike messenger by day, aspiring actor by night, and this is my website. I live in Los Angeles, have a great dog named Jack, and I like piña coladas. (And gettin’ caught in the rain.)

…or something like this:

The XYZ Doohickey Company was founded in 1971, and has been providing quality doohickeys to the public ever since. Located in Gotham City, XYZ employs over 2,000 people and does all kinds of awesome things for the Gotham community.

As a new WordPress user, you should go to your dashboard to delete this page and create new pages for your content. Have fun!