Uyui FM Radio

Jukumu la afya ya uzazi si la mama peke yake-Dkt. Festo Mnyiriri

21 August 2023, 5:55 pm

Na Zaituni Juma

Wanaume katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora wamekumbushwa kujali afya ya mama mjamzito na hata baada ya kujifungua.

Zaituni Juma ametuandalia taarifa ambayo imelenga ushiriki wa wazazi wote wawili  (baba na mama)  kwenda kliniki kwa pamoja hasa  kipindi cha mwanamke akiwa mjamzito na baada ya kujifungua mtoto.

Baadhi ya wanawake waliohudhuria clinic kituo cha afya Mailitano.Picha na Zaituni Juma