Uyui FM Radio

Wanandoa waaswa kuacha  mfumo dume

29 August 2023, 2:27 pm

Wanandoa katika manispaa ya Tabora wametakiwa kuacha dhana ya mfumo dume na badala yake  washirikiane katika masuala ya uzalishaji mali na kisha kutoa maamuzi ya pamoja kwa ajili ya maendeleo.

Zaituni Juma  ametuandalia taarifa  ambayo imeangazia umuhimu wa ushirikino kwa wanandoa katika masuala ya maendeleo kwa lengo la kukuza kipato cha familia.

Moja ya familia iliyofanyiwa mahojiano.Picha na Zaituni Juma