Uyui FM Radio

Vishawishi chanzo wanafunzi wa kike kushindwa kuendelea na masomo

25 September 2023, 3:19 pm

Mfumo dume unaoendelea katika baadhi ya jamii umetajwa kuwa ni moja ya sababu inayosababisha wanafunzi  wa kike kushindwa kufaulu vizuri masomo yao.

Zaituni Juma  ana taarifa zaidi baada ya kutembelea  kata ya Gongoni Manispaa ya Tabora katika shule ya msingi Town School.

Badhi ya wanafunzi wakiwa kwenye muda wa mapumziko. Picha na Zaituni Juma