Uyui FM Radio

Wakazi wa Ufunga Manispaa ya Tabora waamua kujenga daraja la miti

9 September 2024, 2:22 pm

Mwenyekiti wa kijiji cha Tumbi akizungumza na wananchi.Picha na Zaituni Juma

Uamuzi wa kujenga daraja hilo ulipitishwa kwenye mkutano wa kijiji kutokana na adha kubwa ya kuvuka katika eneo hilo hasa kipindi cha masika.

Na Zaituni Juma.

Wakazi wa kitongoji cha Ufunga kijiji cha Tumbi Manispaa ya Tabora wameanza ujenzi wa daraja ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii maeneo jirani.

Wamesema miongoni mwa makundi yanayopata adha ni wanafunzi na wanawake wajawazito kama taarifa yake Zaituni Juma inavyoeleza.