Radio Tadio

Mali

30 October 2026, 16:58

Wakazi wa Ihumwa waomba kituo cha treni ya SGR

Na Victor Chigwada. Wakazi wa Kata ya Ihumwa jijini Dodoma wameiomba Serikali kuweka kituo kidogo cha kupakia na kushusha abiria wa treni ya mwendokasi ya SGR katika eneo hilo ili kurahisisha usafiri kwa wakazi wa Ihumwa na maeneo ya jirani.…

19 November 2023, 12:22

Ushirikiano wa wenza katika kumiliki mali

Na Leonard Mwacha. Hii leo tunaangazia umuhimu wa wenza kushirikiana katika umiliki wa mali. Mwenzetu Leonard Mwacha amefanya mazungumzo na mwanasheria na ameanza kumuuliza hali ikoje kwa wanawake kushirikishwa katika umiliki wa mali wa pamoja na wenza wao.