Radio Tadio

Elimu

8 August 2026, 12:27 pm

Serikali yawawezesha wakulima pampu za umwagiliaji Geita

Pampu hizo zimegawanywa katika halmashauri tano ambapo Bukombe imepata 16, Chato 41, Geita DC 50, Mbogwe 20 na Nyang’hwale 14. Na Mrisho Sadick: Serikali kupitia tume ya taifa ya umwagiliaji imekabidhi pampu 141 za umwagiliaji zenye thamani ya shilingi bilioni…

14 July 2026, 5:16 pm

RITA Bunda yapata tuzo ya kitaifa kwa huduma bora

Kwa sasa mwananchi anayekamilisha taratibu za usajili ana uhakika wa kupata cheti chake cha kuzaliwa ndani ya saa 48 tangu anapowasilisha maombi. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Mhe. Aswege Enock Kaminyoge, ameipongeza Wakala wa Usajili, Ufilisi na…

23 June 2026, 1:15 pm

Mkuu wa Wilaya amahasisha mazoezi

Mkuu wa Wilaya ya Hai, Hassan Omary Bomboko amesisitiza umuhimu wa mazoezi kwa afya na maendeleo ya jamii, huku akiwahamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika shughuli za mapokezi ya Mwenge wa Uhuru unaotarajiwa kuwasili wilayani Hai Julai 3, 2026. Na Juma…

21 June 2026, 20:19

Manispaa Kati yaimarisha usafi

Na Hakika Mwinyi. Wananchi wametakiwa kuendelea kudumisha usafi na kutunza mazingira katika maeneo yanayowazunguka, kwa kuwa jukumu hilo ni la kila mmoja na si la Manispaa pekee. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Baraza la Manispaa Kati, Dkt. Mwanaisha Ali…

28 May 2026, 08:55

Mwang’onda: “Tuilinde amani ya nchi”

Na Fredrick Siwale Wananchi Halmashauri ya Mji Mafinga Mkoani Iringa wametakiwa wametakiwa kulinda amani iliyopo Nchini kwani ndio msingi wa kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo. Akizungumza katika mkesha wa Mwenge uliofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Mkombwe Halmashauri ya Mji…