Pangani FM
Pangani FM
13 March 2026, 12:21

Na Rajabu Mrope
Wilaya ya Pangani ina vijiji 33 na vitongoji 96, jumla ya vitongoji 7 ambavyo vina jamii kuwa ya kimaasai wenyeviti wa vitongoji ni kutoka jamii yao wenyewe.
Viongozi hao pia wanaingia kwenye kamati za MTAKUWWA,za vijiji hivyo wanapata nafasi ya kujadili masuala ya ukatili wa kijinsia kupitia vikao hivyo ambapo kwa kamati za MTAKUWWA Pangani zinawezeshwa na shirika la UZIKWASA hiyo imepelekea jamii hiyo kuacha baadhi ya mila kandamizi kama vile ndoa za utotoni,ukeketaji,wanawake kutoshirikishwa kwenye maamuzi .