Pangani FM

Goli la Mama kuinua vipaji vya wanasoka nchini

9 April 2026, 23:42

Katibu mkuu wizara ya habari utamaduni sanaa na Michezo Gerson Msignwa akikabidhi zawadi ya fedha za goli la mama kwa wachezaji wa Twiga stars.

Na Catherine Sekibaha.

Goli la mama ni mpango wa motisha kwa wachezaji na viabu vya tanzania vinavyoshiriki michezo ya kimataifa kama njia ya kuongeza hamasa.

Kupitia mpango huo umechangia maendeleo makubwa ya kimichezo nchini.

Hayo yanaelezwa kupitia makala hii.