Pangani FM

Mikopo ya asilimia kumi ilivyokuwa mkombozi kwa vijana wa Pangani

21 May 2026, 13:08

Baadhi ya vijana wa wilaya ya Pangani ambao ni wanufaika wa mikopo wakiwa kwenye ghafla maalumu ya mafunzo ya vikundi baada ya kuomba mikopo

Na Abdilhalim Shukuran

Mkoa wa Tanga umefanikiwa kutoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 6.8 kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika kipindi cha mwaka wa fedha 2024/2025, tangu ruhusa ilipotolewa kwa Halmashauri kuanza kutoa mikopo ya asilimia 10.

Sikiliza hapa makala iliyoandaliwa na Abdilhalim Shukuran.