Radio Tadio

Maji

28 Juni 2022, 09:17

Kisima cha maji chaleta Neema kwa wakazi wa Farkwa.

Na ;Victor Chigwada. Kupatikana kwa mita ya kisima Cha maji katika Kijiji cha Farkwa imesaidia kupunguza changamoto ya maji katika eneo hilo. Akizungumza na taswira ya habari Diwani wa Kata hiyo Bw.Stephano Patrick amekiri hali ya upatikanaji wa maji Kijiji…

31 Mei 2022, 13:30

Uhaba wa maji Suguta ni kikwazo cha ndoa nyingi

Na;Mindi Joseph .           Wananchi Kijiji cha Suguta wilayani kongwa wameiomba serikali kuwatatulia changamoto ya maji ambayo inawakabili kwa Muda mrefu. Taswira ya habari imezungumza na Baadhi ya wanawake ambapo wamesema wamekuwa wakilazimika kukaa kisima kwa muda mrefu wakisubiria kuchota maji.…

6 Mei 2022, 15:13

Mazae waendelea kupata changamoto ya maji

Na,Mindi Joseph. Changamoto ya upatikanaji wa maji bado inaendelea kuwakabili wananchi wa kijiji cha mazae wilayani mpwapwa. Taswira ya habari imezungumza na Mwenyekiti wa kijiji cha mazae steven Makasi ambapo amesema changamoto hii imekuwepo kwa muda  kirefu. Ameongeza kuwa wananchi…

2 Oktoba 2021, 2:34 um

Kahama:wakurugenzi kusimamia mabaraza ya wazee.

Serikali mkoani Shinyanga imewaagiza wakurugenzi wa halmashauri zote sita kuhakikisha wanasimamia na kuyawezesha mabaraza ya wazee ili yaweze kufanya kazi kikamilifu pamoja na kutenga fedha kwa ajili ya utekelezaji wa shuguli za wazee. Agizo hilo limetolewa na mkuu wa mkoa…