
Recent posts

18 June 2025, 2:00 pm
Afariki baada ya kunywa sumu Ruangwa, mapenzi yatajwa
Mkulima kijana kutoka Kijiji cha Mbangala, Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, Omari Said Jimajima (28), amefariki dunia baada ya kunywa sumu ya kuua wadudu aina ya Ninja, inayotumika kwenye mashamba, tukio lililotokea kwa huzuni kubwa na kuacha maswali kwa familia…

13 June 2025, 10:04 pm
Sekta ya madini ni nguzo kuu ya uchumi wa taifa – Dkt. Kiruswa
Watanzania watakiwa kuiona sekta ya madini kama dira ya maendeleo na fursa za mabadiliko ya kiuchumi Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa, ametoa wito kwa Watanzania kuipa kipaumbele sekta ya madini, akiielezea kuwa ni mhimili mkubwa unaochochea ustawi wa…

13 June 2025, 8:22 pm
PM Majaliwa kufunga Lindi Mining Expo 2025
Na loveness josefu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (MB), anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe ya kufunga Maonesho ya Madini na Fursa za Uwekezaji Mkoa wa Lindi (Lindi Mining Expo 2025) Taarifa hiyo imethibitishwa leo 13Jun…

13 June 2025, 5:37 pm
Tari yawapiga msasa maafisa ugani Lindi matumizi ya viuatilifu
Na Khadja Omari Taasisi ya utafiti wa Kilimo Tanzania Kituo cha ( TARI NALIENDELE) imetoa Mafunzo ya matumizi sahihi na salama ya viwatilifu vya zao la korosho kwa maafisa Ugani wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi Mafunzo hayo yamefanyika Katika…

12 June 2025, 3:16 pm
Tanesco Yahamasisha Wananchi Kutumia Vifaa vya Kisasa vya Kupikia kwa Umeme –…
Katika Maonesho ya Pili ya Madini ya Mkoa wa Lindi (Lindi Mining Expo 2025), Meneja wa TANESCO Mkoa wa Lindi, Bw.Theodory Hall amewataka wananchi kuachana na matumizi ya mkaa na kuni na badala yake kutumia vifaa vya umeme vya kisasa vya kupikia kama…

12 June 2025, 3:05 pm
Tuimarishe afya zetu kwa kufanya mazoezi
Na Loveness Josefu“Wananchi tuimarishe afya zetu kwa kufanya mazoezi na kuzingatia ulaji unaofaa” Hayo yamebainishwa na Mkuu wa mkoa Wa Lindi Mhe. Zainabu Telack leo 12 Jun 2025 katika mbio za ridhaa zilizofanyika asubuhi mapema kwa kuianza siku ya pili…

11 June 2025, 10:02 pm
Lindi Yazindua Rasmi Maonesho ya Pili ya Madini na Fursa za Kiuchumi – 2025
Na Loveness JosephMkoa wa Lindi umeandika historia tena kwa kuzindua rasmi Maonesho ya Madini na Fursa za Kiuchumi 2025, tukio kubwa linalolenga kuhamasisha uwekezaji na kuibua fursa katika sekta ya madini kwa maendeleo ya kiuchumi ya mkoa na taifa kwa…

8 May 2025, 7:33 pm
SMAUJATA wilaya ya Ruangwa kuanza ziara za kata kwa kata
“tumeazimia kuongeza nguvu katika usajili wa wanachama wapya ambapo Mpango huu unalenga kuongeza idadi ya wanachama wa SMAUJATA na kuhakikisha kuwa vijana wengi zaidi wanajumuishwa katika shughuli za maendeleo ya kijamii na uhamasishaji wa haki na usawa” Na Mwandishi wetu…

22 February 2025, 6:08 pm
PM Majaliwa ashuhudia makabidhiano ya zana za kilimo Ruangwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 22, 2025 ameshuhudia makabidhiano ya trekta tano kati ya Wizara ya Kilimo na Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa ikiwa ni utekelezaji wa awamu ya kwanza ya mpango wa Serikali wa kukabidhi zana za kilimo…

19 February 2025, 8:14 pm
Mama Samia Legal Aid yafikia wananchi zaidi ya millioni1
Na Loveness Daniel Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ni ubunifu wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan uliolenga kuongeza wigo wa upatikanaji haki kwa wananchi wasio na uwezo wa kumudu…