Ruangwa FM
Ruangwa FM
23 August 2024, 09:25
Mahakama ya Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi imemhukumu kifungo cha maisha jela kijana Issa Mushizo (23) mkazi wa Nandanga wilayani Ruangwa kwa kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa miaka minn (jina limehifadhiwa). Mtuhumiwa alitenda kosa hilo 10 Januari 2024…
15 February 2024, 22:28
Ruangwa yazindua zoezi la chanjo ya surua na rubela
15 February 2024, 20:49
Bodi ya Korosho Tanzania yawanoa maafisa ugani,watendaji kata na makarani Ruangwa.
10 September 2023, 22:11
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wananchi kuendelea kumwamini Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa sababu ana dhamira na malengo makubwa ya kuendelea kuboresha maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini yakiwemo na ya wilaya ya Ruangwa. “Tujenge imani ya Serikali yetu, tujenge…
9 September 2023, 22:11
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka wananchi kwenye maeneo mbalimbali nchini washiriki katika michezo kwa kuwa michezo ni ajira, uchumi na huimarisha afya. “Tunapa faida nyingi kwa kufanya michezo, tushiriki katika michezo pamoja na kukimbia riadha kwa kuongeza vipaji tulivyonavyo kwani…
4 August 2023, 13:02
Wanafunzi wenye ulemavu wanaosoma shule ya Msingi Namakonde wilayani Ruangwa mkoani Lindi, wamepatiwa msaada wa magodoro na vitanda kutoka kampuni ya Uranex inayojihusha na uchumbaji wa madini ya kinywe (graphite) wilayani humo kwa ajili ya kutumia katika mabweni yaliojengwa na…
10 July 2023, 21:21
Benki ya CRDB imetoa msaada wa madawati 20 kwa ajili ya shule ya msingi Mtopitopi, meza 40 na viti 40 kwa shule ya sekondari Mbekenyera wilayani Ruangwa mkoani Lindi, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Programu yake maalumu ya KETI…
7 July 2023, 16:51
Wananchi kata ya Mbekenyera wilayani Ruangwa mkoani Lindi wameridhia kutoa maeneo zaidi ya hekari 30 pamoja na kushiriki katika nguvu kazi za ujenzi wa shule ya sekondari tarajiwa inayotajwa huenda ikaja kuitwa shule ya sekondari Nambawala. Hatua hiyo inakuja kufuatia…
18 May 2023, 19:41
Kaimu mkurugenzi halmashauri ya wilaya ya Ruangwa ambaye pia ni afisa elimu msingi wilaya ya Ruangwa Mwl. George Mbesigwa amewataka walimu kutumia mafunzo yaliyoletwa na Aga Khan foundation wilaya ya Ruangwa kupitia MEWAKA kuyatumia vizuri katika kukuza taaluma mashuleni kwa…
8 May 2023, 18:48
Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi imepokea 965,900,000/= Milioni mia tisa na sitini na tano na laki tisa, kutoka Serikali kuu kupitia mradi wa kuboresha upatikanaji wa fursa sawa katika ujifunzaji bora wa Elimu ya Awali na Msingi Tanzania…
VISSION
The vision of Ruangwa Fm Radio is to see the community of Ruangwa District and nearly areas have access to information and increase capacity to play a meaningful role for their own development through Media.
MISSION
To enable local community to use media as a tool for enhancing participatory communication in order to achieve sustainable rural development.
VALUE AND PRINCIPLES
We believe in building strong community by expressing their opinions through media
OBJECTIVES
– To promote community development by supporting the Education, Agriculture, and Health of the Ruangwa Community.
– Giving a voice to people of Ruangwa who do not have access to mainstream media to express their viewers on community development.
– Promoting the right to communicate, expediting the process of informing the community, assisting the free flow of information and acting as a catalyst of change
– To upholds creative growth and democratic spirit at the community level.