Ruangwa FM

Elimu juu ya ugonjwa wa kifua kikuu(TB)

23 March 2023, 7:19 pm

Wananchi mbekenyera na Namungo wilayani Ruangwa wapewa elimu na huduma ya kupima ugonjwa wa kifua kikuu (TB) bure kwa kuchukua sampuli za wenye dalili za kifua kikuu ikiwa ni muendelezo wa shughuli za wiki ya kifua kikuu wilaya ya rungwa ambaye ni mwenyeji wa maadhimisho ya kimkoa  yenye kauli mbiu isemayo: ‘’Okoa Maisha wekeza kutokomeza kifua kikuu nchini’’

Ikumbukwe ugonjwa wa kifua kikuu sio mgeni nchini kwetu ni ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya hewa unaoambukizwa na bakteria aitwae Mycobacteria tuberculosis, TB huenezwa na mtu mwenye vimelea vya TB kwa njia hewa pindi mtu anapokohoa,akipiga chafya na akiimba  bila kuchukua tahadhari, TB.

sauti ya mshauri wa TB,Ukoma na Ukimwi Dr, Jamila Kassimu akitoa elimu juu ya ugonjwa wa TB