Offline
Play internet radio

Recent posts

10 September 2023, 10:11 pm

Tuendelee kumpa ushirikiano Rais wetu – Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wananchi kuendelea kumwamini Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa sababu ana dhamira na malengo makubwa ya kuendelea kuboresha maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini yakiwemo na ya wilaya ya Ruangwa. “Tujenge imani ya Serikali yetu, tujenge…

9 September 2023, 10:11 pm

Waziri mkuu ahamasisha wananchi kushiriki michezo

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka wananchi kwenye maeneo mbalimbali nchini washiriki katika michezo kwa kuwa michezo ni ajira, uchumi na huimarisha afya. “Tunapa faida nyingi kwa kufanya michezo, tushiriki katika michezo pamoja na kukimbia riadha kwa kuongeza vipaji tulivyonavyo kwani…

4 August 2023, 1:02 pm

Elimu maalum Namakonde wapewa vitanda, magodoro waishi shule

Wanafunzi wenye ulemavu wanaosoma shule ya Msingi Namakonde wilayani Ruangwa mkoani Lindi, wamepatiwa msaada wa magodoro na vitanda kutoka kampuni ya Uranex inayojihusha na uchumbaji wa madini ya kinywe (graphite) wilayani humo kwa ajili ya kutumia katika mabweni yaliojengwa na…

10 July 2023, 9:21 pm

CRDB yatoa msaada wa samani shule za Mtopitopi, Bekenyera

Benki ya CRDB imetoa msaada wa madawati 20 kwa ajili ya shule ya msingi Mtopitopi, meza 40 na viti 40 kwa shule ya sekondari Mbekenyera wilayani Ruangwa mkoani Lindi, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Programu yake maalumu ya KETI…

Mission and Vision

VISSION

The vision of Ruangwa Fm Radio is to see the community of Ruangwa District and nearly areas have access to information and increase capacity to play a meaningful role for their own development through Media.


MISSION
To enable local community to use media as a tool for enhancing participatory communication in order to achieve sustainable rural development.


VALUE AND PRINCIPLES
We believe in building strong community by expressing their opinions through media

OBJECTIVES
– To promote community development by supporting the Education, Agriculture, and Health of the Ruangwa Community.


– Giving a voice to people of Ruangwa who do not have access to mainstream media to express their viewers on community development.
– Promoting the right to communicate, expediting the process of informing the community, assisting the free flow of information and acting as a catalyst of change
– To upholds creative growth and democratic spirit at the community level.