Storm FM
Storm FM
26 November 2026, 1:33 pm

Karibu kusikiliza makala ya Tafakari Pevu inayozungumzia changamoto za usafiri wa umma kwa watu wenye ulemavu.
Ikichambua vikwazo wanavyokutana navyo katika matumizi ya usafiri wa kila siku na namna jamii inavyoweza kuwasaidia.
TAFAKARI PEVU huruka kila Jumanne saa moja asubuhi na kurudiwa kila Jumamosi saa nne asubuhi kupitia 88.9 Storm FM Sauti ya Geita, imeandaliwa na timu nzima ya Storm FM na kusomwa na Mrisho Sadick.
Usikose kufuatilia!