Radio Tadio

usafiri

10 September 2026, 16:58

Matumizi ya vilevi waathiri masomo kwa wanafunzi

Wananchi jijini Dodoma wameelezwa umuhimu wa elimu ya afya na malezi bora kama hatua zinazoweza kusaidia kuwalinda vijana dhidi ya madhara ya matumizi ya vilevi na kuwawezesha kuzingatia masomo yao. Na Crispine Gerald. Matumizi ya vilevi kama pombe na dawa…

22 June 2026, 16:18

Vijana miaka 13 hadi 35 wahanga matumizi dawa za kulevya

Siku ya Kimataifa ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 26 Juni. Na Elizabeth Tanzania Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA) imeeleza kuwa matumizi ya dawa za kulevya ni changamoto kubwa…

29 April 2026, 16:46

Mashamba ya bangi yateketezwa kwa moto Kiteto

Hatua hiyo imechukuliwa ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupambana na matumizi na usambazaji wa madawa ya kulevya aina ya bangi. Na Kitana Hamis.Mashamba makubwa ya bangi yaliyokuwa yakilimwa kwa siri katikati ya mashamba ya mahindi katika Kijiji cha Mbigiri,…

14 April 2026, 18:09

Unakabiliana vipi na uraibu wa tabia toka kwa vijana

Lakini tabia au hobi yoyote ambayo inachukua maisha yako na kuingilia utendaji wako wa kila siku inaweza kusababisha matatizo makubwa na afya yako ya akili, kijamii, na kimwili na katika hali fulani, fedha zako pia. Na Mariam Kasawa.Uraibu wa dawa…

9 March 2026, 20:17

Jamii yaaswa kuachana na matumizi ya dawa za kulevya

Na Jerome John. Jamii mkoani Dodoma imeshauriwa kutojiusisha na utumiaji wa dawa za kulevya au uuzaji kutokana na madhara makubwa yanayoweza kujitokeza endapo ukibainika. Akizungumza na Taswira ya habari Afisa elimu kutoka mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za…

10 November 2025, 13:20

Safari ya binti Fanikiwa kutoka katika matumizi ya Skanka

Awali, nilikutana na Fanikiwa na kukuandalia taarifa hii fupi, ikieleza jinsi mdogo wake alivyomsaidia kuachana na matumizi hayo na kuanza upya maisha yenye matumaini. Na Seleman Kodima.Fanikiwa Subukheri—sio Jina lake halisi —ni kijana mdogo aliyewahi kutumbukia katika matumizi ya dawa…

10 October 2024, 19:01

DCEA yawaandaa wanafunzi kupambana na dawa za kulevya

Na Mindi Joseph. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inawaandaa wanafunzi kupambana dhidi ya dawa za kulevya. Akizungumza katika mdahalo uliowakutanisha wanafunzi na wadau wengine Oktoba 10…