Storm FM
Storm FM
10 August 2026, 12:33 pm
Inadaiwa kuwa baadhi ya watu wanatumia maboma hayo kuratibu na kupanga matukio ya uhalifu nakwamba ni hatari kwa usalama wa mali na maisha ya watu. Na Kale Chongela: Serikali ya Mtaa wa Mkoani Kata ya Kalangalala Manispaa ya Geita imewataka…
10 August 2026, 12:02 pm
Taa hizo zipo katika barabara zinazosimamiwa na wakala wa barabara Tanzania TANROADS na wakala wa barabara mjini na vijijini TARURA Na Mrisho Sadick: Wajumbe wa Kikao cha 17 cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Geita wameiomba Wakala wa Barabara Tanzania…
8 August 2026, 12:27 pm
Pampu hizo zimegawanywa katika halmashauri tano ambapo Bukombe imepata 16, Chato 41, Geita DC 50, Mbogwe 20 na Nyang’hwale 14. Na Mrisho Sadick: Serikali kupitia tume ya taifa ya umwagiliaji imekabidhi pampu 141 za umwagiliaji zenye thamani ya shilingi bilioni…
7 August 2026, 12:12 pm
Baadhi ya wakina mama waliohudhuria kwenye elimu ya onyonyeshaji kata ya Kasamwa. Picha na Kale Chongela Wakati wa Maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji kuna changamoto ya wanaume kutojitokeza kupata elimu juu ya utoaji wa lishe kwa watoto wao. Na: Kale…
7 August 2026, 11:42 am
Kipindi hiki maalum kinachoangazia masuala ya usawa wa kijinsia kinapewa nguvu na kwa Chama Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Storm FM. Na: Ester Mabula Karibu kusikiliza kipindi kinachoangazia masuala mbalimbali yanayohusu usawa wa kijinsia kwa lengo…
3 August 2026, 1:15 pm
Tamasha hilo litafanyika ikiwa ni sehemu ya utambulisho wa Uwanja mpya wa kisasa wa Bukombe, ambao utatumika na Geita Gold FC katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2026/2027. Na Mrisho Sadick: Waandaaji wa Tamasha la Joto la…
3 August 2026, 12:33 pm
Uwanja huo umejengwa kwa viwango vya kisasa na una miundombinu muhimu ikiwemo mfumo wa taa za kisasa. Eneo la kuchezea lina nyasi bandia zenye ithibati ya FIFA Daraja la Kwanza, lenye urefu wa mita 105 na upana wa mita 68.…
2 August 2026, 7:01 pm
Wanafunzi wa shule ya Sekondari Mgusu wakitumia kompyuta walizokabidhiwa. Picha na Kale Chongela Kompyuta hizo zitawasaidia wanafunzi kupata ujuzi wa matumizi ya TEHAMA na kuongeza uwezo wao wa kujifunza kwa njia za kisasa. Na: Kale Chongela Diwani wa Kata ya…
22 July 2026, 6:44 pm
Wachezaji wa Mgusu Star kwenye picha ya pamoja.Picha na Kale Chongela Mgusu Star ilianza kuifunga Kalamata Fc bao la kwanza katika dakika ya 19 kipindi cha kwanza na Gori la pili limefugwa dakika ya 65 kipindi cha pili, Gori la tatu limefugwa dakika…
22 July 2026, 8:56 am
Ujenzi wa mabweni katika shule za sekondari utasaidia kupunguza changamoto kwa watoto wa kike ikiwemo mimba za utotoni wilani Chato Na Mrisho Sadick: Mbunge wa Jimbo la Chato Kusini Paschal Lutandula amemuomba Waziri wa Madini Antony Mavunde kusaidia kutatua changamoto…
Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.
Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.
Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.
OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.
ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.