Storm FM
Storm FM
15 September 2026, 4:50 pm
Uwepo wa pointi lukuki imeendelea kuathiri kazi ya udereva huku ukiomba kuwepo kwa utaratibu wa haki na uwazi katika utekelezaji wa sheria za usafirishaji. Na: Kale Chongela Madereva wa magari ya abiria mkoani Geita wameiomba serikali kuangalia upya sheria ya…
15 September 2026, 4:25 pm
Hali ya Mazoea imeibua wito kwa jamii kuendelea kuimarisha mshikamano na kujali watu wenye ulemavu, kwa kuhakikisha wanapata msaada na fursa za kuishi maisha yenye utu na heshima. Na Mrisho Sadick: Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Mazoea Myombya (61) mkazi…
15 September 2026, 11:54 am
“Jamii inapopata taarifa sahihi kutoka vyanzo vya uhakika inasaidia kuchochea maendeleo kwenye jamii na kuendeleza uhusiano bora na wenye tija kati ya serikali na wawekezaji” – Simon Shayo, Makamu wa Rais wa AngloGold Ashanti inayomiliki GGML. Na: Ester Mabula Mgodi…
11 September 2026, 4:06 pm
Serikali imewapa viongozi dhamana ya kusimamia ustawi wa wananchi, hivyo hakuna sababu ya kero zinazoweza kutatuliwa katika ngazi za wilaya na mkoa kuendelea kuwaumiza wananchi Na Mrisho Sadick: Mkuu wa Mkoa wa Geita Alexander Mnyeti amewataka watendaji wa serikali na…
10 September 2026, 6:37 pm
Picha ya vyuma vikiwa vinachemshwa kwenye moto kwaajili ya utengenezaji wa vifaa. Picha na Kale Chongela Uongozi wa mtaa unatambua mchango wa kundi hilo na utaendelea kulitambua na kulithamini kutokana na shughuli wanazofanya katika kujipatia kipato. Na: Kale Chongela Wajasiriamali…
10 September 2026, 4:40 pm
Uongozi wa Mtaa wa Mbugani Manispaa ya Geita umesisitiza ushirikiano wa wananchi katika kusafisha mitaro na kuondoa taka zinazoweza kuziba njia za maji, huku wakazi wakitakiwa kuhakikisha mazingira yao yanakuwa safi kabla na wakati wa msimu wa mvua. Na Mrisho…
10 September 2026, 2:57 pm
Mwili wa Lucas Tanganyika umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Wilaya ya Sengerema wakati taratibu za mazishi zikiendelea. Na Mrisho Sadick: Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Lucas Tanganyika (56) mkazi wa Kitongoji cha Ikelege Kata ya Sima…
9 September 2026, 3:54 pm
Baada ya Geita Gold FC kumalizana na Simba SC sasa silaha zao wamezihamishia kwa wananchi Yanga ambapo mchezo huo utapigwa hivi karibuni. Na Mrisho Sadick: Klabu ya Geita Gold FC imeendelea na maandalizi kuelekea mchezo wake dhidi ya Yanga SC…
9 September 2026, 3:34 pm
Kila mwezi hospitali ya rufaa ya mkoa wa Geita inapokea watoto waliozaliwa kabla ya muda kati ya 30 na 40 hali inayoashiria ongezeko la mahitaji ya huduma maalumu kwa watoto hao. Na Mrisho Sadick: Serikali imetenga Shilingi bilioni 4.5 kwa…
6 September 2026, 8:47 pm
Mradi huo unatarajiwa kunufaisha zaidi ya wananchi laki saba katika vijiji 19 vya kata sita za Halmashauri ya Wilaya ya Geita pamoja na kata 13 za Manispaa ya Geita. Na Mrisho Sadick: Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amemtaka mkandarasi…
Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.
Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.
Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.
OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.
ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.