Recent posts
10 September 2026, 6:37 pm
Changamoto za malighafi zawakabili wahunzi Ikulwa
Picha ya vyuma vikiwa vinachemshwa kwenye moto kwaajili ya utengenezaji wa vifaa. Picha na Kale Chongela Uongozi wa mtaa unatambua mchango wa kundi hilo na utaendelea kulitambua na kulithamini kutokana na shughuli wanazofanya katika kujipatia kipato. Na: Kale Chongela Wajasiriamali…
10 September 2026, 4:40 pm
Mtaa wa Mbugani Geita kukabili tishio la mafuriko na magonjwa ya mlipuko
Uongozi wa mtaa pia umesisitiza ushirikiano wa wananchi katika kusafisha mitaro na kuondoa taka zinazoweza kuziba njia za maji, huku wakazi wakitakiwa kuhakikisha mazingira yao yanakuwa safi kabla na wakati wa msimu wa mvua. Na Mrisho Sadick: Mtaa wa Mbugani…
10 September 2026, 2:57 pm
Tanganyika ajinyonga hadi kufa nyumbani kwake Ikelege
Mwili wa Lucas Tanganyika umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Wilaya ya Sengerema wakati taratibu za mazishi zikiendelea. Na Mrisho Sadick: Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Lucas Tanganyika (56) mkazi wa Kitongoji cha Ikelege Kata ya Sima…
9 September 2026, 3:54 pm
Geita Gold FC kula sahani moja na Yanga SC Septemba 15
Baada ya Geita Gold FC kumalizana na Simba SC sasa silaha zao wamezihamishia kwa wananchi Yanga ambapo mchezo huo utapigwa hivi karibuni. Na Mrisho Sadick: Klabu ya Geita Gold FC imeendelea na maandalizi kuelekea mchezo wake dhidi ya Yanga SC…
9 September 2026, 3:34 pm
Bilioni 4.5 kujenga jengo la watoto njiti hospitali ya mkoa Geita
Kila mwezi hospitali ya rufaa ya mkoa wa Geita inapokea watoto waliozaliwa kabla ya muda kati ya 30 na 40 hali inayoashiria ongezeko la mahitaji ya huduma maalumu kwa watoto hao. Na Mrisho Sadick: Serikali imetenga Shilingi bilioni 4.5 kwa…
6 September 2026, 8:47 pm
Waziri aridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji
Mradi huo unatarajiwa kunufaisha zaidi ya wananchi laki saba katika vijiji 19 vya kata sita za Halmashauri ya Wilaya ya Geita pamoja na kata 13 za Manispaa ya Geita. Na Mrisho Sadick: Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amemtaka mkandarasi…
5 September 2026, 1:16 pm
TANROADS yafanya maboresho ya alama za barabarani Geita
Uwepo wa alama zinazoonekana vizuri ni muhimu katika kuwasaidia madereva na watembea kwa miguu kuchukua tahadhari na hivyo kupunguza uwezekano wa ajali za barabarani. Na Kale Chongela: Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Geita imefanya maboresho ya alama za…
3 September 2026, 6:49 pm
Wanahabari Geita wajengewa uelewa kuhusu sekta ya mafuta, gesi
Mkuu wa Kitengo cha uhusiano na mawasiliano TPDC akitoa elimu kwa waandishi wa habari waliohudhuria semina. Picha na Ashura Ramadhani TPDC inaendelea kutekeleza majukumu yake katika kuhakikisha rasilimali za mafuta na gesi zinatumika kwa manufaa ya Watanzania na kuchangia ukuaji…
3 September 2026, 6:32 pm
TCB yatenga bil 15 ya mikopo kwa wafanyabiashara Geita
Wafanyabiashara wadogo na wa kati, wakulima pamoja na wachimbaji wa dhahabu wametakiwa kutumia mikopo hiyo kwa malengo yaliyokusudiwa Na Mrisho Sadick: Benki ya TCB imetenga kiasi cha Shilingi bilioni 15 kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wafanyabiashara, wakulima na wachimbaji…
2 September 2026, 4:09 pm
Wananchi wadai kushambuliwa na fisi nyakati za usiku Ngoma
Wakati Serikali ikiendelea na jitihada za kukabiliana na fisi hao, wananchi wanapaswa kuchukua tahadhari, ikiwemo kuepuka kutembea katika maeneo hatarishi nyakati za usiku. Na Mrisho Sadick: Wananchi wa Kata ya Ngoma B, Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, wameiomba Serikali kuingilia…