Storm FM
Storm FM
16 May 2026, 4:00 pm
Hakika msemo wa wahenga usemao ukihitaji mali basi utaipata shambani umeendelea kujidhihirisha baada ya vijana kutoka Geita kutaraji kunufaika na kilimo. Na Mrisho Sadick: Mbunge wa Jimbo la Geita mjini Mhandisi Chacha Wambura amewawezesha Jumla ya vijana 23 kutoka Kata…
15 May 2026, 6:16 pm
“Mtu anafika msibani akiwa amelewa anaanza kuongea mambo ya Simba na Yanga hii haikubaliki si kwa kiongozi hata kwa mtu mwingine yoyote” – Katibu wa maafa Na: Kale Chongela Mjumbe wa serikali ya mtaa wa Moringe kata ya Buhalahala halmashauri…
15 May 2026, 5:39 pm
Halmashauri ya manispaa ya Geita inawezesha ujenzi wa mradi mkubwa wa GEDECO Tower ambao unatarajiwa kuongeza mapato na kuchochea maendeleo kwa wakazi wa Geita. Na: Ester Mabula Halmashauri ya Manispaa ya Geita imeanza rasmi ujenzi wa mradi mkubwa wa kitega…
15 May 2026, 4:52 pm
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Tanzania (NEMC) lilianzishwa mwaka 1986 ambapo maadhimisho ya miaka 40 yanatarajiwa kufanyika Mei 30, 2026. Na: Ester Mabula Kuelekea maadhimisho ya miaka 40 ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi…
14 May 2026, 2:57 pm
Mlango wa chuma ulioibiwa na Bededictor.Picha na Kale Chongela Mkazi wa shilabela mwenyeji wa Mkoa wa Mwanza amekamatwa kwa tuhuma za wizi wa mlango wa chuma unaokadiliwa kuwa na Thamani ya Shilingi Laki mbili. Na: Kale Chongela Serikali ya mtaa…
14 May 2026, 11:54 am
“Fedha hizi zimedhibitiwa kwa kipindi cha miezi mitatu na mikakati ya TAKUKURU mkoa wa Geita ni kuendelea kuzuia vitendo vya Rushwa sambamba na mkutoa elimu kwa UMMA juu ya athari za vitendo hivyo” – James Ruge, Mkuu wa TAKUKURU Geita.…
12 May 2026, 4:10 pm
Changamoto hiyo ilibainika baada ya mnunuzi wa kiwanja hicho kuanza hatua za ujenzi wa nyumba ndipo familia ikaamua kuchukua hatua Na Kale Chongela: Mwanaume mmoja aitwaye Bundala Theonest mkazi wa Mtaa wa Mpomvu Kata ya Mtakuja Manispaa ya Geita amefikishwa…
10 May 2026, 5:11 pm
10 May 2026, 4:58 pm
Chanjo hiyo inatarajiwa kutolewa ndani ya mwezi Mei, 2026, ambapo zaidi ya mbwa 2,000 wanatarajiwa kuchanjwa katika kata zote 15 zilizopo ndani ya halmashauri ya wilaya hiyo. Na Mrisho Sadick: Halmashauri ya wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita imepokea jumla ya…
10 May 2026, 4:07 pm
Watumishi wa umma wametakiwa kuzingatia maadili ya kazi, kutunza nyaraka na mali za serikali pamoja na kuwajibika ipasavyo ili kulinda ajira zao. Na Mrisho Sadick: Mtumishi wa serikali katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe anayedaiwa kuweka rehani nyaraka za serikali…
Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.
Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.
Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.
OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.
ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.