Storm FM
Storm FM
24 April 2026, 4:25 pm
“Naamini ukarabati wa barabara hizo utaondoa usumbufu kwa wananchi wa kata ya Kalangalala na kuwasaidia kufanya shughuli za kiuchumi” – Diwani Reuben Sagayika Na: Ester Mabula Kata ya Kalangalala imeingia mkataba wenye thamani ya shilingi milioni 15 na kampuni ya…
23 April 2026, 10:45 pm
Matumaini makubwa ya wananchi wa Geita kupitia Ripoti ya uchunguzi ni taifa kuimarisha mshikamano, amani, na imani ya wananchi kwa serikali yao. Na Mrisho Sadick: Baada ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29 kuwasilisha ripoti yake kwa Rais…
17 April 2026, 2:03 pm
“Ni muhimu kujiweka katika mazingira yenye kuheshimika kwenye Jamii kwa kuzingatia nidhamu ambayo hiyo itasaidia hata kwenye kuongeza ufaulu wa wanafunzi” – DED Myenzi Na: Ester Mabula Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya manispaa ya Geita Ndg. Yefred Myenzi amewataka walimu…
17 April 2026, 1:56 am
“Kila Jambo hapa duniani kwa sasa linategemea elimu, hata mimi leo nisingekuwa diwani kama nisingeweka bidii kwenye masomo ili kutimiza ndoto zangu” – Mgeni rasmi Reuben Sagayika Na: Ester Mabula Mahafali ya nne ya kidato cha sita yamefanyika Aprili 16,…
5 April 2026, 8:03 pm
“Hii barabara imekuwa ikitupa usumbufu mkubwa sana kwahiyo imetulazimu kuweka mawe ili kuondoa usumbufu wakati wa kutumia” – Mwananchi Na: Kale Chongela Wananchi wa mtaa wa Nyantorotoro B, kata ya Nyankumbu, halmashauri ya Manispaa ya Geita, wameonesha mshikamano kwa kujitolea kushiriki…
3 April 2026, 6:20 pm
Na: Ester Mabula Karibu kusikiliza kipindi maalum kinachoangazia masuala ya usawa wa kijinsia ambapo leo mada inaangazia usawa wa kiuchumi ndani ya familia. Swali kuu: Nini sababu ya baadhi ya wanaume kuuza mazao ya familia na kukimbia majukumu yao? Kipindi…
3 April 2026, 4:42 pm
‘Huyu mbuzi nilipewa zawadi kule Kigoma na nilielezwa yuko vizuri tu kwani alizaa, lakini nashangaa nimefika Geita watoto wanasema hana sehemu ya kutoa haja” – Catherine Kachwere, mmiliki wa mbuzi Na: Ester Mabula Catherine Kachwere mkazi wa mtaa wa Nyantorotoro…
2 April 2026, 3:02 pm
Katika hali ya kushangaza diaba lenye pombe ndani yake limekutwa likiwa na kinyesi ndani yake hali ambayo imeuzua taharuki kwa wananchi. Na: Kale Chongela Elizabeth Francisco, mkazi wa mtaa wa Mkoani kata ya Kalangalala, halmashauri ya manispaa ya Geita ameiomba…
1 April 2026, 5:59 pm
“Ujenzi wa shule hii utasaidia watoto wetu kuepuka ajali na kuwasaidia kutembea umbali mfupi kwani maendeleo yoyote hapa duniani ni lazima yaanze na elimu” – Mwenyekiti wa mtaa Na: Ester Mabula Ikiwa ni takribani miezi miwili tangu wananchi washiriki zoezi…
1 April 2026, 5:48 pm
Kwa wilaya ya Geita ongezeko la bei ya mafuta ya petroli limepanda kwa shilingi 956 kutoka bei elekezi ya mwezi Marchi uliopita. Na: Ester Mabula Maafisa usafirishaji kutoka halmashauri ya manispaa ya Geita mkoani Geita wameeleza ugumu wa kutekeleza majukumu…
Welcome to the vibrant world of 88.9 Storm FM! Established in 2011 and broadcasting since June 2015, we are dedicated to redefining radio excellence in Tanzania.
Vision
To be the premier destination for cutting-edge entertainment, insightful news, and diverse music, uniting our community through the power of sound.
Mission
To deliver engaging and innovative content that informs, inspires, and entertains our listeners, fostering memorable experiences and positively impacting their lives.
OUR VALUES
At 88.9 Storm FM, we uphold the values of integrity, creativity, diversity, and excellence in all that we do. We are dedicated to fostering a culture of inclusivity, respect, and collaboration, valuing the unique contributions of each team member and our audience’s diverse perspectives.
ON-GROUND ACTIVATIONS
We strive to foster meaningful relationships, make a positive impact, and strengthen our bond with the community we serve.