Storm FM

Recent posts

29 September 2023, 10:30 pm

Bodaboda Geita wagoma kuzika wakiwadai rambirambi viongozi wao

Suala la kupewa pesa pungufu unapotokea msiba wa bodaboda mwenzao katika chama cha bodaboda mkoa wa Geita, limewaibua bodaboda hao na kuamini viongozi wao wana kawaida ya kula rambirambi. Na Zubeda Handrish- Geita Waendesha boda boda mkoani Geita wamegoma kufanya…

29 September 2023, 9:15 pm

GGML yafanya makubwa maonesho ya 6 ya madini

Geita Gold Mine Limited umeendelea kuwa mgodi wa mfano katika masuala ya teknolojia ya madini na elimu kwa wananchi. Na Zubeda Handrish- Geita Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa kiasi cha Sh. milioni 150 kudhamini Maonyesho ya Sita…

29 September 2023, 12:34 pm

TBA yaupiga mwingi mradi wa majengo mkoa wa Geita

Na Zubeda Handrish- GeitaWakala wa majengo Tanzania (TBA) kupitia kwa Meneja wa TBA mkoa wa Geita Mhandisi Gladys Jefta Septemba 28,2023 amesema awamu ya kwanza (phase one) ya ujenzi wa majengo saba ya serikali  katika Mkoa wa Geita imekamilika ambapo…

28 September 2023, 10:27 am

Kazi za sanaa zilivyomtoa kimaisha Allen

Kazi za sanaa zinapendwa zaidi na wageni kutoka mataifa mengine kuliko wazawa wa Tanzania, licha ya changamoto ya kutopata wageni wa mara kwa mara katika biashara yake Allen hakukata tamaa. Na Zubeda Handrish- Geita Kutana na Allen Furaha Mushi Mjasiriamali…

27 September 2023, 2:12 pm

TBA yawafikia wanageita kwa kutoa elimu katika maonesho ya 6

TBA imeendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya serikali kwa uaminifu na uadilifu huku Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongeza wigo katika sekta hiyo na kuiruhusu kufanya kazi na mashirika binafsi. Na Zubeda Handrish- Geita…

26 September 2023, 7:27 pm

BUCKREEF kuendelea kutunza mazingira kwa kupanda miti

Mgodi wa BUCKREEF umeendelea kupanua wigo katika kuzalisha miche ya miti ili kuhakikisha mazingira yanaendelea kutunzwa katika kupanda miti maeneo yanayozunguka mgodi. Na Kale Chongela- Geita Katika kuendelea kutatua changamoto ya uharibifu wa mazingiara ikiwemo ukataji miti kiholela, Mgodi Wa…

26 September 2023, 7:05 pm

Waziri Jafo aipongeza GGML kwa kuendelea kutunza mazingira

Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na meneja wa TFS miti 400 imepandwa katika viwanja vya EPZA Bombambili na Mhe. Jafo. Na Kale Chongela- Geita Waziri Wa Nchi ofisi ya makamu wa Rais, Muungano na Mazingiara Mhe. Selemani Jafo ameipongeza GGML…

25 September 2023, 10:53 am

Biteko awataka viongozi kuongeza weledi fedha za miradi

Baada ya kuzindua maonesho ya 6 ya kimataifa ya teknolojia ya madini katika viwanja vya EPZA mjini Geita Septemba 23, 2023, Waziri Biteko alifika hadi kwa wananchi wa Bukombe, mamlaka ya mji mdogo Ushirombo nyumbani kwao kwa ajili ya shukrani.…

Kwanini utangaze nasi?

Storm FM Radio ni Kituo cha Matangazo kilichopo Mkoani Geita ambacho kinasikika maeneo yote ya Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa jirani kwa masafa ya 88.9.

Tunasikilizwa na makundi ya rika zote kwakuwa tumejipambanua kwa kuifikia jamii moja kwa moja kupitia Radio, Matamasha na mitandao ya kijamii ikiwemo Instagram,Twitter,Facebook na radiotadio.co.tz/stormfm.