Miundombinu
16 May 2026, 09:59
AWF yatambuliwa kuinua kilimo cha kakao Mlimba
AWF inajivunia mafanikio yaliyopatikana katika kuhamasisha wananchi kujikita kwenye kilimo cha kakao ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa SUSTAIN-ECO Na Katalina Liombechi/Kuruthumu Mkata Mfuko wa Uhifadhi wa Wanyamapori Afrika (AWF) umetunukiwa cheti cha kutambuliwa kama mmoja wa wadau…
14 May 2026, 4:59 pm
Wanaushirika Manyara watakiwa kuzingatia uadilifu
Wanaushirika mkoani Manyara wametakiwa kuendesha shughuli za ushirika kwa kuzingatia uadilifu na kutimiza majukumu yao kama sheria zinavyoelekeza katika usimamizi wa vyama vya ushirika. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa leo na mrajisi msadizi wa vyama vya ushirika mkoa wa…
April 29, 2026, 1:40 pm
Zimamoto Geita waanzisha klabu za usalama mashuleni
Elimu hiyo kwa wanafunzi wa shule za msingi inajenga kizazi chenye uelewa wa mapema kuhusu tahadhari za majanga ya moto. Na Clement Shawishi- GEITA. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Geita limeendelea kutoa elimu kwa wanafunzi wa Shule za…
3 April 2026, 09:37
Kisa mafuta, madereva wapandisha nauli Iringa
Nauli imepanda jambo lililopelekea baadhi ya abiria kuiomba mamlaka husika kutangaza bei halisi. Na Telesia Chalamila Baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kutangaza ongezeko la bei ya mafuta, madereva wa vyombo vya usafiri wa…
28 March 2026, 12:49 pm
Kasi ya usambazaji umeme Nyang’hwale yawakosha wananchi
Wakazi wa Kitongoji cha Elimu, Kijiji cha Kaboha wilayani Nyang’hwale mkoani Geita wameipongeza serikali kwa kufanikisha upatikanaji wa nishati ya umeme katika eneo hilo, hatua iliyosaidia kuondoa changamoto ya kusafiri umbali mrefu kwenda vijiji jirani kufuata huduma za kukoboa mpunga…
23 March 2026, 14:56
JUMAZA yahimiza malezi ya dini kwa vijana
Waumini wa dini ya Kiislamu wamehimizwa kuwalea vijana katika misingi ya maadili mema ili waweze kuijua vyema dini ya Allah. Wito huo umetolewa na Sheikh Farid Hadi Ahmed wakati wa mahafali ya Eid yaliyofanyika Chake Chake, Pemba. Na Is-haka Mohammed…
20 March 2026, 5:37 pm
Mpanda: Mwalimu auawa, atenganishwa kichwa na kiwiliwili
“Amekutwa amefariki dunia kwa kuchinjwa na kutenganishwa kichwa na kiwiliwili “ Na Ben Gadau -Katavi Mtu mmoja aliyefahamika jina moja la Haidari anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 42 mwalimu wa shule ya msingi Nguvumali amekutwa amefariki dunia kwa kuchinjwa…
19 March 2026, 4:58 pm
Vijana Manyara wahimizwa kujiajiri
Vijana mkoani Manyara wamehimizwa kutoa fikra za kuajiriwa na kuweka mawazo yao katika kujiajiri ili kuweza kurithisha vizazi vyao katika biashara zao. Na Diana Dionis Hayo yamesemwa na Afisa biashara mkoani Manyara Ally Salehe Mokiwa katika uzinduzi wa Mgendi MinSupermarket yenye Biashara…
14 March 2026, 10:30 pm
Kamati yaridhishwa na ujenzi wa jengo la TAKUKURU Nyangh’wale
“Tangu serikali ya awamu ya sita iingie madarakani jumla ya miradi 45 yenye thamani ya shilingi Bilioni 14 imetekelezwa na TAKUKURU” – Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Crispin Chalamila Na: Ester Mabula Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na…
26 February 2026, 1:51 pm
Maafisa usafirishaji Geita waendelea kunufaika kupitia BCRO
“Ndani ya miaka yangu mitano nitaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wajasiriamali na watu wote wa kata ya Kalangalala ikiwemo na nyie maafisa usafirishaji ili muweze kujikwamua kiuchumi” – Reuben Sagayika Na: Ester Mabula Asasi ya BCRO (Bajaj In Community Reform…