Utoro
17 October 2023, 15:48
Wazazi washauriwa kutengeneza mazingira mazuri kuondoa utoro kwa wanafunzi
Mazingira mazuri kwa wanafunzi kunatajwa kuwa chanzo cha mafaniko kwa wananfunzi wengi, wanafunzi wengi wameshindwa kufanya vizuri kwenye masomo yao kwa sababu ya kukutana na changamoto kwenye mazingira ya shule na nyumbani. Na Deus Mellah Wazazi na walimu kwa kushirikiana…
3 October 2023, 17:17
Utoro chanzo ufaulu kushuka kwa wanafunzi kidato cha nne
Wazazi na walezi ni lazima wawe karibu na watoto wao ili kuhakikisha wanazingatia masomo yao na kufika shuleni kwa wakati ili waweze kufanya vizuri katika mitihani yao ya mwisho. Na Rukia chasanika Imeelezwa kuwa utoro wa wanafunzi wa shule ya…
6 February 2023, 3:50 pm
Viongozi wa dini na waumini wapigwa msasa
Rai imetolewa kwa viongozi wote wa dini katika sehemu za Ibada kukemea utoro wa wanafunzi, ukatiliĀ pamoja na matumizi ya dawa za kulevya ili kuwa na kizazi chenye maadili na hofu ya Mungu. Na Benard Magawa Jeshi la Polisi wilaya…