Dodoma FM

Recent posts

22 July 2024, 7:05 pm

Unawajibikaje kuhakikisha msichana aliyejifungua anarudi shule?

Mimba za utotoni ni pale mtoto wa kike wa kuanzia umri wa miaka 10 hadi 19 anapopata ujauzito na kujifungua. Na Mwandishi wetu. Katika kuchimba suala hili, leo tumefanya mahojiano na Meneja Utafiti  na Uchambuzi wa Sera kutoka taasisi ya …

22 July 2024, 6:54 pm

Wananchi waaswa kuwakacha viongozi watoa rushwa kwenye uchaguzi

Rushwa ni chanzo cha kupatikana kwa viongozi wasio na maadili. Na Fred Cheti. Ikiwa Tanzania inatazamiwa kufanya uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu na uchaguzi mkuu mwakani rushwa imekuwa ikitajwa kama moja ya kikwazo kinachangia kupatika kwa Viongozi wasio…

22 July 2024, 6:39 pm

Ufahamu mtaa wa Bihawana jijini Dodoma

Yussuph Hassan ametembelea mtaa wa Bihawana na kuja na ripoti kamili. Na Yussuph Hassan.Bihawa ni kata ambayo inapatikana katika Jiji la Dodoma, licha ya umaarufu wa eneo hili kwa kilimo cha zabibu, pia ipo shule ya sekondari kongwe Bihawana ambayo…

19 July 2024, 6:27 pm

Wanafunzi walalamika kukataliwa katika baadhi ya vyombo vya usafiri

Licha ya kupanda na kushuka kwa bei ya nishati ya mafuta ya petroli Nchini kunakochangia ongezeko la bei za nauli katika vyombo vya usafiri ikiwemo daladala lakini mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa ardhini LATRA haijabadili kiwango cha nauli kwa…

19 July 2024, 5:27 pm

Jamii yakosa elimu ya kutosha juu ya utanganishaji wa taka

Ili kupata matokeo mazuri ni lazima kuweka misingi ya utekelezaji ikiwa ni pamoja ushirikishwaji wa umma, utekelezaji wa sheria na makubaliano kwa wadau mbalimbali wanaojihusisha na sekta ama teknolojia ya urejelezaji taka. Na Mariam Kasawa.Inaelezwa kuwa Mazingira safi ni kitovu…

19 July 2024, 4:45 pm

Ujenzi wa kituo cha polisi Chang’ombe kuimarisha ulinzi

Kata ya Changombe ina wakazi wapatao elfu 39000 lakini haikuwahi kuwa na kituo cha polisi na kukamilika kwa ujenzi huu kutaendelea kuiweka kata ya changombe katika hali ya usalama. Na Mindi Joseph.Ujenzi wa kituo cha Polisi katika Kata ya Chang’ombe…

19 July 2024, 4:20 pm

Mila, desturi kikwazo wanawake kuwania nafasi za uongozi

Takwimu zinaonesha bado hakuna uwakilishi wa kutosha wa wanawake katika nafasi za uongozi, za kuchaguliwa au kuteuliwa katika ngazi mbalimbali za uongozi na hata hivyo ukilinganisha na tulipotoka, kuna mabadiliko chanya katika ushiriki wa wanawake na uongozi. Na Alfred BulahyaKuelekea…