Dodoma FM

Recent posts

29 September 2026, 17:23

Lishe ni msingi muhimu wa afya na maendeleo ya mwanafunzi

Mwanafunzi anayepata lishe bora huwa na nafasi nzuri ya kuwa makini na kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kujifunza. Na Daniel Njau. Inaelezwa kuwa lishe bora ni msingi muhimu wa afya na maendeleo ya mwanafunzi, kwani humsaidia kuwa na nguvu, umakini…

29 September 2026, 17:17

Wananchi watahadharishwa kuhusu mvua za El nino

Kutokana na hali ya mvua za El nino zinazotarajiwa mwanzoni mwa mwezi wa kumi hadi wa kumi na moja wananchi wameshauriwa kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa huku wakitakiwa kuweka mazingira yao katika hali nzuri kwa…

29 September 2026, 17:09

Wakazi wa Mlowa waomba msaada ujenzi wa mabweni

Tayari mpango wa ujenzi wa mabweni shuleni hapo umeanza kufanyiwa kazi. Na Victor Chigwada. Wakazi wa Mlowa barabarani Wilayani Chamwino wameiomba Serikali na wadau mbalimbali kuwasaidia kujenga mabweni katika shule ya sekondari yao ili kusaidia watoto wanao toka mbali pamoja…

29 September 2026, 16:56

Tanzania yaendelea kujiimarisha katika usimamizi wa maafa

Katika kubadilishana uzoefu ameeleza kuwa, Tanzania inaendelea kuangalia namna ya kuongeza uwezo wa kutumia taarifa za satelaiti pamoja na teknolojia ya akili unde, hatua ambayo itasaidia kutoa taarifa za mapema kuhusu maeneo hatarishi na kuwezesha mamlaka kupanga namna bora ya…

29 September 2026, 16:38

Mgomo wa madereva wa kwamisha safari za mabasi Dodoma

Hatua  hiyo  imeibua  mjadala  kuhusu  changamoto  zinazo wakabili madereva  wa  mabasi  ya  masafa  marefu,  huku wadau wakitarajiwa  kutafuta  suluhisho  litakalo wezesha  huduma  za  usafiri kuendelea  bila  kuathiri  usalama  barabarani wala maslahi  ya  madereva. Na Anwary Shabani. Safari  za  mabasi  ya  mikoani…

28 September 2026, 17:19

Unyanyapaa kwa wenye ulemavu unachangiaje msongo wa mawazo?

Je, jamii ina mchango gani katika kupinga unyanyapaa kwa watu wenye ulemevu? Tuangazie jinsi unyanyapaa unavyosababisha msongo wa mawazo kwa watu wenye ulemavu . Mariam Matundu amezungumza na kijana ambaye alikuwa akipitia unyanyapaa kutokana na hali yake ya ulemamvu na…

28 September 2026, 17:00

Jamii yatakiwa kutambua haki za mtoto wa nje ya ndoa kisheria

Hali ya wazazi kutengana na mtoto kukosa mahitaji yake ya msingi inaweza kumfanya mtoto kukosa mahitaji muhimu kama elimu, matunzo na mahitaji mengine ya msingi, hivyo kusisitiza umuhimu wa wazazi wote kutekeleza wajibu wao kwa ajili ya ustawi wa mtoto.…

28 September 2026, 16:50

Zaidi ya watoto milioni 1.1 kupata chanjo ya polio awamu ya pili

Wazazi na walezi mkoani Dodoma wanakumbushwa kutokosa fursa hiyo, kwa kuhakikisha watoto wao wanapata chanjo katika kipindi hiki cha kampeni, kwa kuwa kinga ya mtoto ni jukumu la pamoja la familia na jamii. Na Anwary Shaban. Watoto zaidi ya milioni…

28 September 2026, 16:46

Idara ya mifugo yatakiwa kuongeza kasi ya chanjo ya wanyama Mpwapwa

Ushirikiano kati ya wananchi, wataalamu wa afya ya binadamu na mifugo ni muhimu katika kuzuia na kudhibiti magonjwa yanayoweza kuambukizwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu. Na Stephen Noel. Serikali Wilaya ya Mpwapwa imetaka Idara ya Mifugo kuongeza kasi ya…

28 September 2026, 16:34

Serikali yaandaa marekebisho ya sheria ya ndoa

Hatua hiyo inaendelea kuhitaji ushirikiano wa Serikali na wadau mbalimbali, kwa lengo la kulinda haki za watoto wa kike, kuwawezesha kuendelea na elimu na kuwapa nafasi ya kutimiza ndoto zao. Na Anwary Shaban. Serikali imesema ipo katika hatua za mashauriano…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger