Recent posts
26 September 2026, 10:39
C-CEOs Forum kuwa chachu ya utekelezaji wa Dira 2050
Mapato hayo yameongezeka kutoka Sh637.7 bilioni mwaka 2020/21 hadi Sh1.327 trilioni mwaka 2025/26, sawa na ongezeko la asilimia 108.3. Na Mwandishi wa OTR Serikali imesema Mkutano wa Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma (C-CEOs Forum) 2026,…
25 September 2026, 17:06
Shigela aagiza tathmini ya haraka bwawa la Dongobesh
Hali ya bwawa la Dongobesh imeibua tahadhari kutokana na uwezekano wa mvua kubwa, hivyo Serikali imeanza kuchukua hatua za kitaalamu kuzuia madhara kwa wananchi na miundombinu inayozunguka eneo hilo. Na Kitana Hamis. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Martine Shigela,…
25 September 2026, 16:50
Wananchi Dabalo waomba kuongezewa tenki la maji
Kutokana na ongezeko la idadi ya watumiaji linalosababisha foleni na baadhi ya wananchi kulazimika kufuata huduma hiyo katika vijiji vya jirani. Wakazi hao wamesema kuongezwa kwa miundombinu hiyo kutasaidia kupunguza adha ya kutafuta maji na kuhakikisha wananchi wanapata huduma hiyo…
25 September 2026, 16:36
Migogoro ya familia yaweza kuathiri maendeleo ya watoto
Wito umetolewa na mkuu wa dawati la jinsia na Watoto wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, ASP Christer Kayombo,akisisitiza wazazi umuhimu wa familia kuwa mazingira salama kwa watoto, ili kuwawezesha kukua katika malezi bora na kuendelea na masomo bila…
25 September 2026, 16:23
Ujenzi wa uwanja wa msalato Dodoma wafikia asilimia 89
Na Mwandishi wetu. TANROADS imewaelekeza mameneja wa mikoa kujiandaa kukabiliana na athari za mvua kubwa zinazotarajiwa Oktoba hadi Desemba, huku wananchi wakitakiwa kuchukua tahadhari wanapotumia barabara na vivuko wakati wa mvua. Ujenzi wa miundombinu ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa…
25 September 2026, 16:02
Wanaume wanamchango na nafasi gani katika suala la uzazi wa mpango?
Ushiriki wa wanaume katika masuala ya uzazi wa mpango ni muhimu katika kuhakikisha wanandoa na familia zinafanya maamuzi sahihi kuhusu idadi na muda wa kupata watoto. Akizungumza kuhusu suala hilo, Bi Itika Shemwela, yeye ni Mratibu wa Afya ya Uzazi…
24 September 2026, 17:23
Asili ya mtaa wa Mazengo na uwepo wa kisima cha Nyoka
Mwana fahari endelea kufuatilia mfululizo wa makala hii kesho utafahamu zaidi kuhusu uwepo wa kisima cha nyoka katika mtaa wa Mazengo. Na Yussuph Hassan. Mtaa wa mazengo ni moja kati ya maeneo maarufu yanayo patikana katika kata ya Chang’ombe jijini…
24 September 2026, 17:06
Unene kupita kiasi waongeza hatari ya kupata magonjwa
Wataalamu wa afya wanaendelea kusisitiza umuhimu wa kudumisha mtindo bora wa maisha kwa kuzingatia ulaji unaofaa, kufanya shughuli za mwili mara kwa mara na kupata ushauri wa kitaalamu inapohitajika. Na Husna Munis. Unene kupita kiasi umeelezwa kuwa miongoni mwa changamoto…
24 September 2026, 16:49
Wanafunzi walalamika kutembea umbali mrefu
Hatua hizo ni pamoja na kutenga eneo katika kitongoji cha Mbweko, pamoja na kuanzisha ujenzi wa shule katika kitongoji cha Ng’ambo kwa nguvu za wananchi, Ili kuwasaidie wanafunzikutokutumia muda mrefu wanapokuwa barabari katika kuhakikisha wanapata elimu bora bila changamoto yeyote.…
24 September 2026, 16:34
Mikataba ya ajira yasisitizwa kulinda haki za wafanyakazi
Ukosefu wa mikataba ya maandishi ya ajira umeendelea kuwa changamoto katika baadhi ya maeneo ya kazi, hali inayoweza kufanya wafanyakazi kupata ugumu kudai haki zao pindi migogoro inapotokea. Na Daniel Njau. Uwepo wa mikataba ya ajira bado ni changamoto katika…