Dodoma FM
98.4 MHz
Miyuji - Dodoma
+255 784 244 705/6
dodomafmradio@gmail.com
https://www.dodomafm.co.tz
98.4 MHz
Miyuji - Dodoma
+255 784 244 705/6
dodomafmradio@gmail.com
https://www.dodomafm.co.tz
Unywaji wa pombe pamoja na uvutaji wa sigara umetajwa kuwa miongoni mwa sababu kuu zinazo sababisha ongezeko la magonjwa ya moyo, hususani kwa wanaume. Na Bennard Filbert. Hayo yameelezwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Jakaya Kikwete Cardiac Institute, Dkt. Peter…
27 August 2026, 17:20
Wananchi wameomba elimu ya afya ya akili na msaada wa kisaikolojia iendelee kutolewa vijijini na mijini ili kuongeza uelewa, kuimarisha ushirikiano wa jamii na kuwasaidia watu wenye changamoto kupata msaada mapema. Na Daniel Njau Hali ya baadhi ya watu kukata…
27 August 2026, 17:03
Huduma hiyo inaendelea kuwa sehemu ya juhudi za kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa jamii, huku matumizi ya teknolojia yakitoa fursa ya kufanya huduma hiyo kuwa rahisi na yenye ufanisi zaidi. Na Elizabeth Mwinuka. Katika kuhakikisha jamii inapata…
27 August 2026, 16:45
TPHPA itaendelea kushirikiana na Serikali, wakulima, vijana, wanawake, wafanyabiashara, watafiti pamoja na taasisi mbalimbali za umma na binafsi, ikiwemo zisizo za Serikali, kuhakikisha udhibiti wa visumbufu unaimarishwa na Tanzania inakuwa na kilimo chenye tija na uzalishaji endelevu. Anwar Shabani, Tanzania…
27 August 2026, 16:36
Licha ya ugumu wa maisha, wataalamu na wanasaikolojia wameendelea kusisitiza umuhimu wa kuwa na mahusiano mazuri, kupata muda wa kupumzika, kufanya mambo tunayoyapenda na kutafuta sababu za kucheka na kufurahia maisha. Na Grace Budodi. Kicheko ni sehemu ya maisha ya…
26 August 2026, 17:20
Amewashauri wazazi kuwa karibu na watoto wao na kuzungumza nao kwa upendo ili kujenga uaminifu, jambo litakalo wawezesha watoto kueleza changamoto zao na kusaidiwa mapema. Na Rahel Joseph. Imeelezwa kuwa adhabu kali kwa mtoto humjengea hofu na kumfanya ashindwe kujiamini…
26 August 2026, 17:13
Wananchi,wazazi, walezi na jamii kwa ujumla wametakiwa kutambua wajibu wao wa malezi, kuwaongoza watoto kwa nidhamu na kushirikiana na viongozi wa dini pamoja na jamii katika kujenga kizazi chenye maadili mema. Na Daniel Njau. Wananchi wameeleza kuwa mabadiliko ya maadili…
26 August 2026, 17:06
Ameongeza kuwa ni muhimu mtu kuwa na uwezo wa kuendelea na majukumu yake hata pale ambapo hajafanya jambo alilozoea kufanya mara baada ya kuamka. Je unafahamu kuwa tabia anazofanya mtu mara tu baada ya kuamka zinaweza kuwa na mchango katika…
26 August 2026, 17:03
Maadhimisho ya miaka 20 ya Polisi Jamii nchini yanaendelea chini ya kaulimbiu inayohimiza ushirikiano kati ya jamii na Jeshi la Polisi katika kudumisha amani, usalama na umoja wa kitaifa. Kupitia maadhimisho hayo, elimu kwa wananchi inaendelea kusisitizwa kuwa ni nyenzo…
24 August 2026, 18:14
Wadau wa mradi huo wamewataka wajasiriamali na sekta binafsi kuongeza uwekezaji katika teknolojia hiyo ili pumba ya mpunga itumike kama malighafi ya nishati mbadala, badala ya kutupwa na kupoteza fursa ya kuongeza thamani. Na Anwary Shaban. Pumba ya mpunga ambazo…
24 August 2026, 18:02
Ameongeza kuwa ushirikiano wa wazazi, walezi na jamii ni muhimu katika kuhakikisha watoto wote wanaostahili kupata chanjo wanafikiwa. Na Stephen Noel. Watu wenye ulemavu wa kudumu uliosababishwa na ugonjwa wa polio wilayani Mpwapwa wamewataka wazazi na walezi kuwapeleka watoto wao…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-