Dodoma FM

Recent posts

18 July 2024, 4:39 pm

Utawala wa mnyama simba-Kipindi

Leo katika Fahari tunaangazia maisha ya mnyama simba katika utawala na mawindo . Na Yussuph Hassan.Je, unafahamu kuwa simba dume akivamia familia ya simba mwingine na kuitawala hulazimika kuwaua watoto madume wote na kisha kuanza kizazi chake upya.

18 July 2024, 4:24 pm

Matumizi sahihi ya ARV yanasaidia kuboresha afya

Dkt. Janet Mtenga ameshauri jamii kujenga utamaduni wa kupima VVU na kutumia kwa usahihi dawa za kufubaza virusi vya ukimwi ARVs. Na Yussuph Hassan.Imeelezwa utumiaji kwa usahihi matumizi ya dawa za kufubaza Virusi Vya Ukimwi ARV inasaidia kuboresha afya na…

18 July 2024, 4:04 pm

Ujenzi ofisi serikali ya mtaa Chang’ombe kuongeza ufanisi kiutendaji

Wamepokea Tsh milioni 30 kutoka serikalini ili kukamilisha ujenzi huo. Na Mindi Joseph.Ujenzi wa ofisi ya serikali ya mtaa katika kata ya Chang’ombe Juu unatajwa kuongeza ufanisi katika utendaji kazi pamoja na kuwahudumia wananchi. Ujenzi huo ulianza kwa nguvu za…

18 July 2024, 3:19 pm

Wasomi watakiwa kuwa mfano bora utunzaji wa mazingira

Vijana ni nguvu kazi ya taifa hivyo wanatakiwa kutambua wajibu wao katika kutunza na kuhifadhi mazingira pia kuwa mabalozi wazuri wa mazingira. Na Mariam KasawaVijana wa vyuo vikuu wametakiwa kutunza mazingira kwa kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo upandaji miti na uanzishaji…

17 July 2024, 5:33 pm

Soko la Hamvu Chang’ombe kunufaisha kiuchumi wakazi 6000

Kata ya Chang’ombe ina wakazi wapatao elfu 39000 na hadi sasa ina soko moja tu linalotumika la Mavunde na kukamilika kwa ujenzi wa soko la Hamvu itaongeza idadi ya masoko mawili. Na Mindi Joseph.Kukamilika kwa Ujenzi wa soka la Hamvu…

17 July 2024, 4:59 pm

Mkoa wa Dodoma unashika nafasi yapili vitendo vya ukatili wa kimwili

Hii ni kufuatia ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini uliyoangazia haki za kisiasa,kiuchumi na kijamii Tanzania bara na visiwani. Na Alfred Bulahya.Mkoa wa Dodoma umetajwa kushika nafasi ya pili kwa vitendo vya ukatili wa kimwili huku wanawake wakitaja…

17 July 2024, 4:42 pm

Wilaya ya Bahi yafikia malengo ukusanyaji wa mazao ya chakula

Mradi wa Kudhibiti Sumukuvu Nchini TANIPAC unalenga kupunguza uchafuzi wa sumukuvu katika mnyororo wa thamani wa mazao ya chakula hususani mahindi na karanga na kusaidia kuimarisha usalama wa chakula. Na Kadala Komba.Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma imefanikiwa kufikia…

17 July 2024, 4:15 pm

Maonesho ya nanenane fursa kwa wafanyabiashara na wajasiriamali

Kitaifa Maonesho hayo ya wakulima nane nane yanatarajiwa kufanyika katika Mkoa wa Dodoma katika viwanja vya Nzuguni. Na Fred Cheti.Inaelezwa kuwa Maonesho ya wakulima Nane nane yamekuwa yakitoa fursa kubwa kwa wajasirimali na wafanyabiashara jijini hapa kutokana na Mkusanyiko mkubwa…