Recent posts
24 July 2023, 17:27
Historia kuanzishwa mashamba ya mpunga wilayani Bahi
Je, kipi kilichangia msukumo wa kuanzishwa kwa mashamba ya mpunga wilayani Bahi? Na Yussuph Hassan Tunaendelea kuitazama historia ya wilaya ya Bahi iliyopo mkoani Dodoma na leo tunaangalia historia ya kuanzishwa kwa mashamba ya mpunga wilayani humo.
24 July 2023, 14:32
Walimu watakiwa kuboresha mazingira ya shule kwa kupanda miti
Na Bernad Magawa Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Bahi Mheshimiwa Donald Mejitii amewaagiza walimu wa shule za msingi wilayani Bahi kuhakikisha wanaboresha mazingira ya shule mpya zilizojengwa kupitia fedha za BOOST pamoja na zile za zamani kwa kupanda miti…
24 July 2023, 14:04
Mwarobaini vifo vya wajawazito Bahi wapatikana
Hatua hii ni muhimu ambapo takwimu zinazokusanywa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini zinaonesha vifo vitokanavyo na uzazi vimeendelea kupungua kutoka vifo 1,640 mwaka 2020 hadi vifo 1,580 mwaka 2021. Na Seleman Kodima. Vifo vya akina mama wajawazito…
24 July 2023, 13:10
Mpango matumizi ya ardhi kupitia LTIP kiboko ya migogoro ya ardhi
Mradi wa Uboreshaji wa milki salama za ardhi utawezesha haki kupatikana na kufanikisha uwepo wa ushirikiano wa familia kati ya mume na mke na upatikanaji wa hati za kimila . Na Seleman Kodima. Viongozi wa serikali za Mitaa wametakiwa kutoa ushauri…
21 July 2023, 17:25
Historia ya kilimo cha mpunga wilayani Bahi
Msimuliaji wetu anaendelea kutufahamisha kuanzishwa kwa mashamba haya na lini yalianzishwa. Na Yussuph Hassan. Tunaendelea kuangazia historia ya wilaya ya Bahi na leo tutafahamu historia ya mashamba ya mpinga katika wilaya hii.
21 July 2023, 16:48
Kaizer Chiefs kucheza na Yanga kesho
Karibu upate habari za michezo kutoka hapa Nchi Tanzani zikisimuliwa kwako na mwana michezo wetu Rabiamen Shoo. Na Rabiamen Shoo. Kikosi cha Kaizer chiefs ‘Amakhosi’ kimetua Tanzania kwa ajili ya Mchezo wa Kirafiki dhidi ya Yanga kwenye Kilele cha Wiki…
21 July 2023, 16:11
Viongozi wa kijiji Zejele watakiwa kuacha kujihusisha na uuzaji wa maeneo
Mhe Nolo amesema kuwa serikali ya kijiji isijiingize kwenye udalali wa kuuza ardhi kwani itakuwa ni chanzo cha mgogoro kwa wananchi . Na Seleman Kodima. Viongozi wa serikali ya kijiji cha Zejele kata ya Nondwa wametakiwa kuacha kujihusisha na uuzaji…
21 July 2023, 15:10
Serikali yaendelea kuboresha miundombinu ya elimu nchini
Ziara hiyo ambayo ilianzia shule ya sekondari Chilonwa kwaajili ya kukagua ujenzi wa vyumba vya madarasa na Mabweni ilihitimishwa shule ya Msingi mizengo pinda ambapo benki ya NMB ilikuwa ikikabidhi vifaa mbalibali vya ujifunzaji shuleni hapo iliwemo viti na vifaaa…
20 July 2023, 19:39
Wananchi waomba kupatiwa elimu utunzaji wa macho
Kwa mujibu wa wataalam wa afya ya macho wanasema kuwa upo umuhimu mkubwa kwa watu kuwa na mazoea ya kupima afya ya macho mara kwa mara kutokana na macho kuwa moja ya kiungo muhimu katika utendaji wa kazi wa kiumbe…
20 July 2023, 17:06
Ifahamu maana halisi ya jina Bahi
Kila jina huwa na maana au asili je jina Bahi lina maana gani na asili yake ni nini? Na Yussuph Hassan. Wilaya ya Bahi ni mojawapo kati ya wilaya saba za mkoa wa Dodoma. Wilaya hii ilianzishwa rasmi mwaka 2007…