Recent posts
3 March 2023, 14:50
UWT Bahi walipongeza Dawati la Jinsia na Watoto
Mkuu huyo ametoa wito kwa wananchi kutoa taarifa za ukatili ili kumsaidia kila mmoja kuishi kwa furaha . Na Bernad Magawa Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake Dunuani ambayo hufanyika machi 8 kila mwaka, Jumuiya ya wanawake…
3 March 2023, 14:05
Wananchi watumie kumbukizi ya siku zao za kuzaliwa kupanda miti
Hatua hii inatoa tafsiri ya moja kwa moja na kuhitaji uhamasishaji wa pamoja wakufikia azma serikali ya Lengo la kupanda miti 5,075,000, katika kipindi cha miaka minne. Na Selemani Kodima Wito umetolewa kwa wananchi jijini Dodoma kutumia kumbukizi ya siku…
3 March 2023, 13:14
Wauzaji wa gesi watakiwa kuwa na mizani ya Vipimo
Hayo ameyasema leo wakati akifungua mafunzo ya wafanyabishara wa gesi za kupikia yaliyoandaliwa na wakala wa Vipimo mkoa wa Dodoma ambapo amewataka wakala huo kuhakikisha baada ya siku 60 wafanyabiashara wa gesi za kupikia wanakuwa na mizani ya vipimo sahihi.…
3 March 2023, 12:29
WCF kuendelea kuboresha utoaji huduma
Dkt.Mduma amesema kwa kipindi cha kuanzia Mwezi Machi 2021 hadi Februari 2023 Waajiri wapya 5,250 wamejisajili WCF huku kati ya waajiri hao asilimia 99.27% ni waajiri wakubwa, huku asilimia 98.71% ni waajiri wa kati na waajiri wa chini ni asilimia…
3 March 2023, 11:55
Elimu yasaidia kupunguza fedha haramu na ufadhili wa kigaidi
Benki ya Dunia kwa kushirikiana na Taasisi nyingine za kimataifa zimejitolea kuleta mabadiliko ya hali hiyo kwa kuanzisha dhana ya wamiliki manufaa. Na Fred Cheti. Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni imesema utoaji wa elimu kwa Wamiliki manufaa umeleta…
3 March 2023, 10:42
JKT yatarajia kuadhimisha miaka 60 ya kuasisiwa kwake
Madhimisho hayo ya miaka 60 ya kuasisi kwa Jeshi la Kujenga Taifa Jkt Tanzania yatafanyika uwanja wa jamhuri jijini Dodoma ambapo yamebeba kauli mbiu isemayo Malezi ya Vijana ,uzalishaji mali na Ulinzi kwa ustawi wa Taifa. Na Seleman Kodima Jeshi…
1 March 2023, 17:45
Wakazi wa Mahama waiomba Serikali huduma ya umeme
Ikumbukwe Feb 15 Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan alishudia tukio kubwa la kihistoria la utiaji saini mikataba ya utekelezaji wa miradi ya umeme. Na Victor Chigwada Baadhi ya vitongoji vya kijiji cha Mahama vimeendelea kukosa…
1 March 2023, 17:14
Nzelenze waiomba serikali huduma ya maji safi na salama
Hatua za kukabiliana na changamoto ya maji vijijini bado zinaendelea ili kuondokana na matumizi ya maji yaliyo tuama na visima vifupi ambayo ni hatari kwa afya za binadamu. Na Victor Chigwada Wananchi wa kitongoji cha Nzelenze Kata ya Itiso Wilaya…
1 March 2023, 16:47
TPHPA kudhibiti viuatilifu bandia
Matumizi Sahihi na Salama ya Viuatilifu yanalenga kujali Afya ya Watu na Mazingira kwa maendeleo endelevu na Kulinda afya ya binadamu na mazingira kwa usimamizi endelevu na bora wa viuatilifu na afya ya mimea. Na Fred Cheti. Mamlaka ya Afya…
1 March 2023, 16:27
Shule ya msingi Chihoni yapokea msaada wa vyandarua
Halmshauri ya jiji la Dodoma inaendelea na zoezi la ugawaji wa vyandarua kwa wanafunzi wa shule za Msingi na awali ambapo jumla ya wanafunzi wapatao 122,000 kutoka shule 158 wanatarajiwa kupatiwa vyandarua. Na Fred Cheti. Wanafunzi wa Shule ya Msingi…