Recent posts
8 March 2023, 13:40
Wananchi waishukuru serikali kwa kusaidia ujenzi wa kituo cha afya
Wananchi wa Kata ya Itiso Wilaya ya Chamwino wameishukuru Serikali kwa jitihada za kuboresha huduma za afya kwa kuwasaidia ujenzi. Na Victor chigwada. Wananchi wa Kata ya Itiso Wilaya ya Chamwino wameishukuru Serikali kwa jitihada za kuboresha huduma za afya…
8 March 2023, 12:52
Wananchi waingia taharuki kufuatia maeneo wanayomiliki kutaka kuuzwa
Wananchi wamejikuta wakiingiwa na taharuki kufuatia maeneo wanayoyamiliki yakiwemo mashamba kukutwa yakipimwa na kutaka kuuzwa bila kuwepo kwa taarifa yoyote. Na Fred Cheti. Wananchi wa Mitaa wa Chihikwi, Nala, pamoja na Ndachi jijini Dodoma wamejikuta wakiingiwa na taharuki kufuatia maeneo…
8 March 2023, 11:19
TASAC labainisha kutekeleza miongozo inayotolewa na serikali
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limebainisha kuwa linatekeleza miongozo inayotolewa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA). Na Mindi Joseph. Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limebainisha kuwa inatekeleza miongozo inayotolewa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) katika…
7 March 2023, 18:46
Ukosefu wa shule wasababisha ndoa za utotoni
Kukosekana kwa shule ya msingi kijiji cha Kaza roho Kata ya Manzase Wilaya ya Chamwino imesababisha wanafunzi kuacha masomo na kuamua kuolewa katika Umri mdogo. Na Victor Chigwada, Imeelezwa kuwa changamoto ya kukosekana kwa shule ya msingi kijiji cha Kaza…
7 March 2023, 16:11
Ujenzi wa barabara watajwa kuwa kichocheo cha fursa
Sekta ya barabara imekuwa na mchango mkubwa katika shughuli mbalimbali ikiwemo usafirishaji wa bidhaa. Na Thadei Tesha. Ujenzi wa barabara kuelekea mtaa wa Ntyuka jijini dodoma unatajwa kuwa chanzo cha kuchochea zaidi fursa za kiuchumi. hayo ni kwa mjibu wa…
6 March 2023, 16:52
Tamko la serikali kuelekea siku ya wanawake
Elimu kwa jamii kuhusu maendeleo ya wanawake katika nyanja mbalimbali ikiwemo kiuchumi na kiutawala ili kuimarisha usawa wa kijinsia nchini. Na Fred Cheti. Serikali imesema kuwa itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kutoa elimu kwa jamii kuhusu maendeleo ya wanawake katika…
6 March 2023, 16:46
Tembo wafanya uharibifu wa ekari zaidi ya 100
Tembo hao wamesababisha uharibifu mkubwa katika mashamba hayo na kuwaacha wananchi na sintofahamu. Na Alfred Bulahya Kundi la Tembo wanaokadiriwa kuwa zaid ya 300 wamevamia mashamba ya wananchi katika kijiji cha Magungu Kubi katika kata ya Mpendo walayani Chemba na…
6 March 2023, 12:29
Wanawake watakiwa kuacha kuwaficha watoto wenye ulemavu
Baadhi ya vitu ambavyo vimekabidhiwa kwa watoto hao ni pamoja na magodoro,taulo za kike,mavazi,sabuni ,mafuta ya kupaka na vitu vingine ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa kila mwaka wa kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Na Seleman Kodima. Wito…
6 March 2023, 11:40
Mpwapwa yatarajia kuanza kilimo cha umwagiliaji
Bwawa hilo ambalo linajengwa kati ya kijiji cha Chunyu na Ng’ambi wilayani Mpwapwa hadi sasa umefikia asilimia 30 huku ukitarajiwa kukamilika ifikapo Novemba mwaka huu. Na Mariam Kasawa Jumla ya shilingi bilioni 27 zimetolewa ili kukamilisha uchimbaji wa bwawa litakalo…
6 March 2023, 10:22
Mbugani watakiwa kukamilisha ujenzi wa madarasa kwa wakati
Shule hiyo ambayo ni shule shikizi inatakiwa kukamilisha kwa wakati ujenzi wa madarasa mawili ambayo baada ya kukamilika kwake kutakuwa na jumla ya vyumba sita vya madarasa katika shule hiyo ya msingi Mbugani. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa…