Dodoma FM

Recent posts

16 March 2023, 08:36

Wafanyabiashara Sabasaba walia na ugumu wa biashara

Awali daldala za jiji la dodoma zilikuwa na kituo kikuu katika soko la sabasaba kabla ya kuhamishiwa kituo katika soko jipya la machinga complex. Na Thadei Tesha. Zikiwa zimepita wiki chache tangu kuhamishwa kwa daldala katika eneo la sabsaba jijini…

15 March 2023, 18:21

Serikali kuboresha miundombinu ya mifugo katika ranchi ya Narco

Uwekezaji huo wa serikali unalenga kufanya ufugaji wa kisasa zaidi wenye tija ambao utaleta manufaa kwa taifa na wananchi kwa ujumla. Jumla ya Bilion 4.6 zimewekezwa katika ranchi ya Taifa NARCO iliyopo Wilayani Kongwa ili kuboresha miundombinu ya Mifungo. Naibu…

15 March 2023, 18:06

Wazazi watakiwa kuhimiza watoto kusoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewataka wazazi na walezi kutumia fursa za vyuo na taasisi mbalimbali za elimu ya juu zilizopo mkoani Dodoma. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewataka wazazi na walezi kutumia…

15 March 2023, 16:28

Wananchi wajeruhiwa na wengine kupoteza makazi baada ya mvua kubwa kunyesha

Nyumba zipatazo 16 zimebomoka kufuatia mvua kubwa iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali,mkoani Dodoma na kusababisha baadhi ya wananchi kujeruhiwa huku wengine wakibaki bila makazi. Na Alfred Bulahya. Nyumba zipatazo 16 zimebomoka kufuatia mvua kubwa iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali, katika…

15 March 2023, 15:23

Wananchi watarajia kuondokana na tatizo la kukosekana kwa daraja Bahi

Wananchi wanatarajia kuondokana na tatizo la kukosekana kwa daraja la Mto Nkogwa kutokana na daraja lililokuwepo hapo awali kusombwa na maji mwisho mwa mwaka jana. Na Bernad Magawa. Wananchi wa kijiji cha Bahi sokoni wilaya ya Bahi Wanatarajia kuondokana na…

15 March 2023, 11:42

DUWASA wapongezwa utekelezaji wa mradi wa visima vya maji Nzuguni

Kamati ya kudumu ya Bunge ya uwekezaji wa mitaji ya Umma leo imetembelea mradi wa maji wa uchimbaji wa Visima Virefu unaoendelea kutekelezwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma, (Duwasa) katika eneo la Nzuguni Jijini Dodoma.…

14 March 2023, 16:44

Uwepo wa wanyamapori kwaleta changamoto ya wanafunzi kuto udhuria masomo

Uwepo wa wanyamapori na umbali wa shule ni changamoto inayosababisha wanafunzi wanaojiunga na masomo ya sekondari katika kata ya Ngh’ambaku Wilayani Chamwino kushindwa kuhudhuria masomo kwa wakati. Na Victor Chigwada. Umbali wa zaidi ya kilomita arobaini na usalama hafifu kutokana…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger