Recent posts
22 March 2023, 19:23
Wananchi Bahi waomba kupunguziwa gharama za kuunganishiwa umeme
Wananchi wilayani Bahi wameliomba shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kuwapunguzia gharama za kuunganishiwa umeme kwa matumizi ya nyumbani. Na Benard Magawa. Wananchi wilayani Bahi wameliomba shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kuwapunguzia gharama za kuunganishiwa umeme kwa matumizi ya nyumbani kutoka…
22 March 2023, 19:02
Vijana waomba viongozi kutembelea maeneo yao ya kazi
Baadhi ya vijana wanaojishughulisha na shughuli ya kuponda kokoto katika mtaa wa kisasa Dodoma wametoa ushauri kwa viongozi mbalimbali kutembelea maeneo yao ya kazi. Na Thadei Tesha. Baadhi ya vijana wanaojishughulisha na shughuli ya kuponda kokoto katika mtaa wa kisasa…
22 March 2023, 18:54
Wananchi watakiwa kuendelea kupata elimu ya utunzaji wa vyanzo vya maji<…
Tanzania ilishuhudia kipindi kirefu cha mlipuko wa Kipindupindu kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2018 na Taarifa kutoka shirika la Afya Dunia inaeleza kuwa na mlipuko mkubwa wa Kipindupindu nchini Malawi ambapo hadi kufikia tarehe 15 Machi 2023 kulikuwa na jumla…
22 March 2023, 18:26
Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya Marburg
Ugonjwa huu huambukizwa kutoka kwa Binadamu mmoja kwa mwingine hususani kwa njia ya kugusa majimaji ambayo yanaweza kuwa mate , mkojo, damu, machozi au kinyesi yatokayo kwenye maiti au Mgonjwa mwenye dalili, maambukizi pia yanaweza kutoka kwa Wanyama kwenda kwa…
22 March 2023, 15:46
Serikali yadhamiria kudhibiti na kutokomeza kifua kikuu
Immelezwa kuwa watu wenye hatari zaidi ya kupata ugonjwa wa kifua kikuu(TB) ni pamoja na wale wanaoishi katika makazi duni, Watoto, Wavuvi na wanafunzi wanaoishi bweni. Serikali imedhamiria kuendelea kushirikiana na wadau katika sekta zote ili kudhibiti na kutokomeza ugonjwa…
21 March 2023, 18:12
Ubuyu ni fursa kwa wafanyabiashara
Kwa mujibu wa wa wataalamu wa afya ubuyu ni tunda jamii ya adonsonia ambapo umekuwa na matumizi mbalimbali kwani wapo baadhi yao hutumia kama juisi na wengine huongezea thamani kwa kutengenezea bidhaa mathalani kashata au ubuyu wa rangi. Na Thadei…
21 March 2023, 17:39
Dkt. Mollel azungumza na wataalamu wa Afya.
Na Pius Jayunga. Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka Wataalamu wa Afya kutomchukia pindi anapofanya maamuzi ya kumtoa Mganga Mkuu wa Wilaya kwani hufanya hivyo kwa nia njema ya kuboresha huduma za afya kwa wananchi. Dkt. Mollel ametoa…
21 March 2023, 17:06
Wahandisi wa SGR watakiwa kusimamia fidia za wananchi
Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa Gondwe ametoa maelekezo kwa wahandisi wanaosimamia mradi wa reli ya treni ya Mwendo kasi kuhakikisha wanashughulikia kero wananchi ambao hadi sasa hawajalipwa fidia za ardhi. Na Bernad Magawa. Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa…
21 March 2023, 16:50
Hatimaye mgogoro wa ardhi Kingale watatuliwa
Baada ya mgogoro wa ardhi wa muda mrefu kutatuliwa hatimaye zoezi la upimaji limeanza rasmi katika eneo hilo. Na Nizar Mafita. Siku chache baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kutatua mgogoro wa ardhi…
20 March 2023, 17:35
Wananchi wahofia bidhaa kupanda bei mwezi mtukufu
Baadhi ya wananchi jijini dodoma wameeleza namna hali ilivyo juu ya upatikanaji wa bidhaa za vyakula masokoni kuelekea mwezi wa ramadhani. Na Thadei Tesha. Kuelekea maandalizi ya mwezi mtukufu wa ramadhani baadhi ya wananchi jijini dodoma wameeleza namna hali ilivyo…