Recent posts
12 April 2021, 12:05
Taasisi Jijini Dodoma zahimizwa kufuatilia upandaji na ukuaji wa miti
Na; Benard Filbert. Taasisi zinazojihusisha na upandaji wa miti katika kukijanisha jiji la Dodoma zimetakiwa kuhakikisha zinapanda na kufuatilia ili kujua maendeleo ya miti hiyo. Hayo yanajiri kufuatia taasisi mbalimbali kushiriki katika kampeni ya kukijanisha jiji la Dodoma kwa kupanda…
12 April 2021, 11:33
Wasichana wahimizwa kutambua umuhimu wa masomo ya Sayansi
Na; Yussuph Hans Licha ya uhaba wa Wanafunzi wa Kike kusoma Masomo ya Sayansi Nchini, bado kuna changamoto mbalimbali zinazowakabili baada ya kuhitimu Masomo hayo. Hayo yamebainishwa na Afisa Mpango Ujenzi wa Nguvu za pamoja na harakati kutoka Mtandao wa…
12 April 2021, 09:13
Wanawake na nafasi za juu katika uongozi
Na; Mariam Kasawa. Tanzania ni miongoni mwa Nchi ambayo imekuwa ikiwapa kipaumbele wanawake hasa katika nyaja ya uongozi. Akizungumza leo katika kipindi cha Dodoma live Bi. Gloria Mafole wakili mchambuzi wa sera kutoka katika Jumuiya ya kikristo Tanzania amsema wanawake…
9 April 2021, 13:02
ATCL yashauriwa kuajiri watu wenye ufanisi
Na; Pius Jayunga. Serikali kupitia shirika la ndege Tanzania ATCL imeshauriwa kuajili watu wenye taaluma ya maswala ya anga ili kuleta ufanisi katika utendaji kazi ulio bora ikiwa ni pamoja na kubadili mfumo wa manunuzi ndani ya Serikali. Ushauri huo…
9 April 2021, 09:59
Vijiji vyote kupatiwa umeme katika awamu ya tatu ya REA
Na; Yussuph Hans. Serikali imesema inawahakikishia Wananchi wa maeneo yote ya Vijijini yaliyokuwa hayajapata Umeme katika awamu zilizopita kuwa, yatapata Umeme katika awamu ya Tatu ya mzunguko huu wa pili wa REA . Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na…
9 April 2021, 09:21
Wananchi waombwa kutoa ushirikiano ili kukomesha mwendokasi
Na; James Justine. Mamlaka ya udhibiti usafiri ardhini LATRA imetoa ombi kwa wananchi kuendelea kutumia namba za simu zilizopo kwenye mabasi endapo dereva ataendesha gari kwa mwendo kasi wakiwa safarini. Taarifa hiyo imetolewa na afisa mfawidhi mamlaka ya udhibiti usafiri…
9 April 2021, 08:37
Nkonko wakomesha mimba shuleni, kwa kujenga bweni
Na; Seleman Kodima. Uongozi wa Kijiji cha Nkonko kilichopo Wilayani Manyoni Mkoani Singida umefanikiwa kujenga bweni la wasichana katika Secondari ya Kijiji hicho ili kupunguza tatizo la mimba shuleni. Hayo yamesemwa na Diwani wa Kata ya Nkonko Bw.Ezekiel Samwel ambapo…
8 April 2021, 13:46
Tanzania kujenga uchumi shindani wa viwanda
Na; Mindi Joseph Serikali imesema inaendelea na maandalizi ya mikakati ya utekelezaji wa mpango wa 3 wa maendeleo wa Taifa kwa kipindi cha miaka 5 unaolenga kujenga uchumi shindani wa viwanda kwa maendeleo ya watu. Mapendekezo ya mpango huo yamesomwa…
8 April 2021, 12:00
ATCL yatengeneza hasara, ripoti ya CAG
Na; Yussuph Hans. Imeelezwa kuwa kwa Miaka Mitano mfululizo shirika la Ndege Tanzania ATCL imetengeza hasara ambapo kwa mwaka huu limesababisha hasara ya shilingi Bilioni sitini (60 ) na Milioni miambili arobaini na sita (246). Hayo yamebainishwa mbele ya waandishi…