Recent posts
24 September 2026, 16:22
TANROADS yatenga bilioni 40 kukabiliana na athari za El nino
Maandalizi hayo yanalenga kuhakikisha miundombinu ya barabara inaendelea kuwa salama na kupitika, pamoja na kupunguza madhara yanayoweza kusababishwa na mvua hizo, ikiwemo uharibifu wa barabara na madaraja. Na Anwar Shabani. Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umetenga zaidi ya shilingi bilioni…
23 September 2026, 17:19
Vijana watakiwa kujenga uwezo kufanya maamuzi sahihi katika maisha
Kutowajengea vijana uwezo huo kunaweza kuwafanya kuiga au kufuata maisha ya wengine, huku akisisitiza kuwa wazazi, jamii na walezi wana wajibu wa kuwasaidia vijana kutambua lililo sahihi na kuwajengea uwezo wa kujitegemea. Na Rahel. Imeelezwa kuwa vijana wanapaswa kufundishwa namna…
23 September 2026, 17:08
Changamoto ya umeme kutatuliwa mgodi wa Manyemba
Hatua za kutatua changamoto ya ukosefu wa umeme katika Mgodi wa Manyemba, Kata ya Dabalo, Wilaya ya Chamwino, zimeanza kuchukuliwa baada ya wachimbaji na wawekezaji kukosa nishati hiyo kwa muda mrefu, huku TANESCO Wilaya ya Chamwino ikiahidi kufikisha umeme katika…
23 September 2026, 16:54
Jamii yatakiwa kushirikiana kulinda haki za watoto wenye ulemavu
Baadhi ya wananchi wameunga mkono kauli hiyo, wakisema jamii haipaswi kuwatenga watoto wenye ulemavu, bali inapaswa kuwatambua kama sehemu ya jamii na kuhakikisha wanapatiwa haki zao za msingi. Na Daniel Njau. Jamii imetakiwa kuhakikisha watoto wenye ulemavu wanapata haki zao…
23 September 2026, 16:45
Miundombinu salama ya hedhi ipewa kipaumbele shuleni
Baadhi ya wananchi wamesema afya na usafi wa hedhi vinapaswa kupewa kipaumbele na jamii nzima, kwa kuhakikisha wasichana wanapata vifaa salama na vya kutosha vya kujisitiri, pamoja na elimu sahihi itakayowawezesha kuelewa na kusimamia hedhi zao kwa usalama, heshima na…
23 September 2026, 16:32
Wazazi watakiwa kuimarisha malezi ya watoto kujenga jamii bora
Baadhi ya wadau wa maendeleo ya jamii wamesema wataendelea kushirikiana na wizara hiyo kuhakikisha watoto wanapata malezi bora, huku wakichangia katika ujenzi wa jamii imara na yenye ustawi. Na Anwary Shabani. Wazazi wametakiwa kuimarisha usimamizi na malezi ya watoto wao,…
22 September 2026, 17:42
Waathirika wa moto Mchinga Complex wapewa mkono wa pole
Serikali itaendelea kuwaunga mkono wafanyabiashara hao na kuweka mazingira rafiki ya kurejesha shughuli zao za biashara. Na Yussuph Hassan.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, ametoa Shilingi laki 5 kama mkono wa pole kwa wafanyabiashara walioathirika na moto katika…
22 September 2026, 17:17
‘Adhabu kali kwa watoto huwaathiri kisaikolojia’
Adhabu kali hazisaidii kuwafundisha watoto, bali huwajaza hofu na kuwafanya kuwa waoga. Na Daniel Njau. Adhabu kali wanazopewa watoto majumbani na shuleni zimetajwa kuwa na madhara katika ukuaji wao wa kisaikolojia, huku wataalamu wakisisitiza matumizi ya njia mbadala za malezi…
22 September 2026, 16:58
Watakiwa kuwa makini matumizi ya vifaa ya umeme
Kwa kuzingatia kuwa moto unaweza kutokea wakati wowote na kusababisha hasara kubwa kwa maisha na mali, elimu, tahadhari na maandalizi ya mapema vinaendelea kuwa muhimu kwa kila mwananchi. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji jijini Dodoma limewataka wananchi kuongeza umakini katika…
21 September 2026, 17:26
Wakazi Mlowa barabarani walilia jengo la mama, mtoto
Wakazi wa vitongoji vya Mahuma na Mlowa B, Kata ya Mlowa Barabarani, Wilaya ya Chamwino, wameiomba Serikali kujenga jengo maalumu la mama na mtoto katika kituo cha afya cha kata hiyo, wakisema ongezeko la wagonjwa kutoka maeneo mbalimbali limeongeza msongamano,…