Dodoma FM

Recent posts

17 September 2026, 16:50

Wananchi Msagali wachangia milioni 48 ujenzi wa kituo cha afya

Na Stephen Noel. Wananchi wa Kijiji cha Msagali, Kata ya Chunyu, Wilaya ya Mpwapwa, wameamua kujikwamua kwa kuchangisha fedha na kuanza ujenzi wa kituo cha afya, hatua inayolenga kupunguza changamoto ya upatikanaji wa huduma za afya, hususani wakati wa msimu…

17 September 2026, 12:14

Bodaboda washindwa kumaliza mikataba kwa wakati

Hata hivyo, waajiri wanashauri kuwepo kwa mfumo wa wazi wa kupima utendaji wa maafisa usafirishaji, kuweka malengo yanayotekelezeka na kutoa mrejesho wa mara kwa mara ili changamoto zinapojitokeza ziweze kutatuliwa kabla ya kumalizika kwa mkataba. Na Mathias Mgale. Kushindwa kwa…

17 September 2026, 11:27

Vibao vya mitaa vyageuzwa vyuma chakavu Mlowa

Wakazi wa kata ya Mlowa barabarani wamelalamikia tabia ya baadhi ya wananchi kung’oa alama za vibao vya mtaa na kuuza kwenye vyuma chakavu . Na Victor Chigwada. Wakiongea na taswira ya habari baadhi ya wananchi wameiomba serikali kuingilia kati suala…

17 September 2026, 10:09

Jela Maisha kwa kumbaka mwanafunzi

Baada ya kusikiliza ushahidi uliowasilishwa mahakamani, Ezra Maziku alikutwa na hatia na kuhukumiwa kutumikia kifungo cha maisha jela. Na Stephen Noel.Kijana mwenye umri wa miaka 27, Ezra Maziku maarufu ‘Funika’, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia…

15 September 2026, 15:08

‘Mjue jirani yako’ yazidi kushika kasi, wananchi mguu sawa

Kampeni ya Mjue Jirani Yako inaendelea kuhamasisha ushirikiano kati ya wananchi na vyombo vya dola, kwa lengo la kuhakikisha taarifa muhimu za kiusalama zinawasilishwa kwa wakati na hivyo kusaidia kujenga jamii yenye ulinzi na usalama. Na Anwary Shabani. Wito umetolewa…

15 September 2026, 09:03

PSPTB yawataka wataalam kulipa madeni ndani ya siku 30

Mtendaji wa PSPTB Bwana Godfred Banyi amewasihi wataalamu wote wa PSPTB wenye madeni kutumia fursa hiyo ya siku 30 kulipa ada zao kwa wakati ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza katika usajili na shughuli zao za kitaalamu. Na Anwary Shabani. Bodi…

14 September 2026, 16:24

Wazazi Idifu wakwamisha watoto kujiunga kidato cha kwanza

Atanasio Mnyepembe Mwenyekiti kutoka Kijiji cha Idifu ni shuhuda wa mwenendo wa elimu katika kijiji chake, anakiri kuwa licha ya kutumia nguvu nyingi kuhamasisha wananchi kupeleka watoto mashuleni lakini bado kuna mapungufu hasa kwa watoto wanaojiunga na kidato cha kwanza.…

14 September 2026, 15:55

Ujenzi tenki kupunguza adha ya maji Mahunga

kukamilika kwa Tenki la maji kupitia mradi wa kisima cha Mahunga hivyo kuanza kutoa huduma kwa vijiji vya Mlowa barabarani na Mlowa B. Na Victor Chigwada. Kukamilika Kwa Tenki la maji lililokuwa likijengwa katika kitongoji cha Mahunga Kata ya Mlowa…

14 September 2026, 15:20

Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya utabiri wa hali ya hewa

Viongozi wa kata ya vighawe, wilaya ya mpwapwa, wameendelea kuhamasisha wananchi kujiandaa dhidi ya uwezekano wa mvua nyingi kwa kufuatilia taarifa rasmi za hali ya hewa, kutambua maeneo hatarishi na kuchukua hatua za kinga, huku wazazi na walezi wakitakiwa kuwaangalia…

14 September 2026, 11:54

Mafunzo kwa vitendo yaandaa wanafunzi kwa soko la ajira

Wanafunzi wametakiwa kutumia muda wa mafunzo kwa vitendo kujifunza kwa bidii, kuzingatia maadili ya kazi na kuuliza maswali wanapokutana na changamoto, ili kuongeza uelewa wao wa taaluma na kuwa tayari zaidi kwa soko la ajira. Na Mathias Mgale. Mafunzo kwa…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger