Recent posts
18 August 2026, 16:40
Kaya maskini Dodoma kunufaika na TASAF
Utekelezaji wa mpango watatu unatarajiwa kugharimu dola za kimarekani Zaidi ya milioni 650 ambapo utanufaisha Zaidi ya kaya milioni 1.5 zenye uhitaji Tanzania bara na Zanzibar. Na Anwary Shaban. Kaya maskini jijini Dodoma zinatarajia kunufaika na mfuko wa maendeleo ya…
17 August 2026, 17:45
Shule ya sekondari Mpwapwa kutimiza miaka 100
Shule ya Sekondari Mpwapwa inatarajiwa kuadhimisha miaka 100 ya uwepo wake mwaka 2026, ikiwa ni kumbukumbu ya safari yake ya karne moja katika sekta ya elimu nchini. Na Stephen Noel Shule ya Sekondari Mpwapwa, iliyopo katika Wilaya ya Mpwapwa mkoani…
17 August 2026, 17:35
Wananchi Huzi walia na uvamizi wa tembo
Wananchi walio athiriwa na tembo hao kupewa fomu za kujaza na uongozi wa kijiji ili kufidiwa hasara waliyo ipata lakini hakuna utekelezaji wowote. Na Victor Chigwada. Wananchi wa kijiji cha Huzi Wilaya ya Chamwino wameiomba Serikali kuwasaidia kukabiliana na Tembo…
17 August 2026, 17:22
Ujenzi wa daraja waleta tumaini kwa wananchi Nzali
Kukamilika kwa daraja hilo kunatajwa kuwa hatua muhimu katika kuboresha usafiri na usalama wa wananchi, huku likitoa fursa zaidi kwa shughuli za kilimo, biashara na huduma za kijamii katika maeneo hayo. Na Anwary Shaban. Baada ya adha ya muda mrefu…
14 August 2026, 17:00
Vitendo vya wizi wa mifugo, ubakaji vyazua hofu Mpamaa
Sajent Nichlos ametoa wito kwa wananchi wa Mpamaa na maeneo jirani kuongeza ulinzi kuwa makini na watu wanaowazunguka na kutoa taarifa mapema pindi wanapoona viashiria vya uhalifu.wananchi nao wanatarajiwa kushirikiana na viongozi pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama ili…
14 August 2026, 16:51
Mikataba ya watumishi wa ndani kusaidia kupatikana kwa haki zao
Watumishi wa ndani wanaokumbana na unyanyasaji wametakiwa kutambua kuwa vitendo hivyo si sehemu ya kazi, kuhifadhi ushahidi wa unyanyasaji na kutoa taarifa kwa mwajiri au mtu anayeaminika, pamoja na kutafuta msaada kutoka mamlaka na taasisi zinazohusika na masuala ya ajira…
14 August 2026, 16:36
Vikoba vidogo fursa kwa jamii katika kujiwekea akiba
Bahati Jerome Mwalimu wa vikoba amesema vikoba vina faida kwa sababu vinampa mwanachama nafasi ya kujiwekea akiba kwa urahisi na kupata fedha anapohitaji. Hata hivyo, ameshauri wananchi kujiunga na vikoba vilivyosajiliwa ili kuwa na uhakika wa taratibu na ulinzi wa…
14 August 2026, 16:25
Wananchi Iyoyo walia na umbali mrefu wa zahanati
Matonya Mtukamsihi mwenyekiti wa Kijiji Cha Muungano amekiri uwepo wa athari za kiafya Kwa wakazi wa kitongoji cha Iyoyo na vingine zaidi vitatu kutokana na umbali mrefu na ilipo zahanati. amesema Kwa kutumia nguvu za wananchi tayari wameanza ujenzi wa…
14 August 2026, 16:16
Matumizi ya visikizi kwa muda mrefu hatari kwa usikivu
Wataalamu wanashauri watumiaji wa earphones kupunguza kiwango cha sauti, kuepuka kuzitumia kwa muda mrefu bila mapumziko na kuzingatia afya ya masikio ili kujilinda dhidi ya madhara yanayoweza kujitokeza baadaye. Na Grace Budodi. Matumizi ya earphones (kifaa cha kusikilizia sauti) kwa…
13 August 2026, 17:50
Wenye vitiligo wahimizwa kujikinga na mionzi ya jua
Wataalamu wanasisitiza umuhimu wa watu wanaoishi na vitiligo kuendelea kufuatilia afya ya ngozi zao na kupata ushauri wa kitaalamu pale wanapohitaji. Na Husna Munisi. Watu wanaoishi na ugonjwa wa vitiligo wametakiwa kuzingatia utunzaji wa ngozi zao, hususan kujikinga dhidi ya…