Recent posts
20 August 2026, 17:03
NGO’s zatakiwa kuzingatia taratibu, sheria na kanuni za nchi
Mashirika yasiyo ya kiserikali ni taasisi zinazofanya kazi kwa lengo la kusaidia jamii na kutatua changamoto mbalimbali katika jamii katika sekta kama vile elimu, afya, mazingira, kupunguza umaskini na kulinda haki za binadamu. Na Leokadia Andrew. Mashirika yasiyo ya Kiserikali…
20 August 2026, 16:48
NEST yarahisisha mfumo wa zabuni nchini
Matumizi ya Mfumo wa Kitaifa wa Ununuzi wa Umma kwa njia ya kielektroniki, NEST, yameendelea kuleta matokeo katika kupunguza gharama za uendeshaji wa zabuni nchini, ambapo zaidi ya karatasi milioni 288.6 za nyaraka za zabuni zimezuiwa kuchapishwa, hatua iliyosaidia kuokoa…
20 August 2026, 16:36
Umbali wa shule wahatarisha usalama wa wasichana Chisichili
Jamii inapaswa kuendelea kujenga mazingira rafiki na salama kwa watoto wa kike, huku ikitafuta njia mbadala na za kudumu zitakazowahakikishia utulivu katika masomo yao bila hofu yoyote. Na Derrick Mazembe. Safari ya kutafuta elimu kwa watoto wakike, hasa wale wanaolazimika…
20 August 2026, 16:21
Bodaboda waonywa kuacha kujihusisha na uhalifu
Maafisa usafirishaji maarufu kama ‘bodaboda’ wameelekeza lawama hizo kwa bodaboda ambao wamekuwa wakiingia vituo ambavyo si vyao na kufanya kazi hasa nyakati za usiku na kujikuta wakichafua jina la kijiwe hicho kwa kujikuta wakibeba wahalifu. Na Grace Budodi Maafisa usafirishaji…
19 August 2026, 17:12
Wajawazito wahimizwa kuwahi kliniki kupunguza hatari kwa mtoto
Amesisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kuhakikisha mama na mtoto wanapata uangalizi unaostahili hadi wakati wa kujifungua. Na Stephen Noel Akina mama wajawazito wilayani Mpwapwa wametakiwa kuwahi kupata huduma za kliniki mara wanapobaini kuwa ni wajawazito, ili kusaidia kubaini…
19 August 2026, 17:04
‘Maudhui yasiyofaa mtandaoni huathiri saikolojia ya vijana’
Katika ulimwengu wa sasa, teknolojia imeleta mapinduzi makubwa, lakini pia imekuja na changamoto kubwa za kiusalama, hasa kwa watoto. Mtandao unawapa watoto fursa ya kugundua mambo mengi, lakini pia unawaweka kwenye hatari ya kukutana na picha za ngono. Na Grace…
19 August 2026, 16:45
Bilioni 7.3 yawekezwa katika kifaa cha kisasa cha kutibu saratani
Hatua hiyo inaelezwa kuwa ni sehemu ya jitihada za Serikali kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za uchunguzi na matibabu ya saratani kwa kutumia teknolojia za kisasa, huku ikilenga kupunguza vifo vinavyotokana na ugonjwa huo. Na Anwary Shaban. Serikali imewekeza kiasi…
19 August 2026, 16:34
Wananchi waomba kutengewa maeneo ya wazi kwaajili ya mazoezi
Uhaba wa viwanja pamoja na miundombinu rafiki kwa michezo unawafanya vijana kukosa maeneo maalum ya kufanya mazoezi na kukuza vipaji vyao. Na Ramadhani Juma. Baadhi ya wananchi jijini dodoma wameiomba serikali kuongeza na kuboresha viwanja vya michezo na maeneo maalum…
18 August 2026, 17:03
Fahamu madhara ya kutokupima afya muda mrefu
Jamii inapaswa kutopuuzia dalili za kiafya, bali kufika kituo cha afya mapema kwa uchunguzi na ushauri wa kitaalamu ili kulinda afya zao. Na Godson Haron. Imeelezwa kuwa watu wanaoishi na dalili za kiafya kwa muda mrefu bila kwenda kupima afya…
18 August 2026, 16:53
Wanafunzi watakiwa kutofumbia macho vitendo vya ukatili
Mpwapwa sekondari ni miongoni mwa shule inayojunuisha Wanafunzi kutoka mikoa mbalimbali na shule ya bweni ambayo pia ni shule ya jumuishi. Na Stephen Noel. Jeshi la Polisi wilaya ya Mpwapwa kitengo cha dawati la jinsia limewataka Wanafunzi wa shule za…