Recent posts
21 September 2026, 17:16
Wananchi Chamwino waomba elimu matumizi ya nishati mbadala
Mwenyekiti wa Kijiji cha Mnase, Ayubu Malima, amesema kijiji hicho kinaendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira, huku kikitekeleza kanuni ndogo ikiwemo kauli ya “kata mti, panda mti” pamoja na kuweka utaratibu wa kutoa vibali maalumu kwa…
21 September 2026, 16:55
Wataalamu wa afya waonya ufanyaji kazi ngumu kwa wajawazito
Si kila shughuli ya mwili ni hatari kwa mama mjamzito, kwani baadhi ya kazi nyepesi zinaweza kusaidia mwili kubaki katika hali ya uchangamfu. Shughuli kama kupika, kuosha vyombo na kazi nyingine nyepesi za nyumbani, huku akisisitiza kuwa mama mjamzito anapaswa…
21 September 2026, 16:31
J1 wagusa maisha ya watoto wenye uhitaji Dodoma
Tukio hilo limekuwa sehemu ya juhudi za Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kuimarisha uhusiano na jamii, huku Umoja wa Askari J1 ukiendelea kutumia maadhimisho yao kama fursa ya kugusa maisha ya wenye uhitaji. Na Anwary Shabani. Umoja wa Askari…
19 September 2026, 12:37
WMA yawataka wananchi kuacha kununua kokoto na mchanga kwa ‘tripu’
WMA imewataka wananchi kutumia vipimo vinavyotambulika kisheria na kutoa taarifa pale wanapobaini ukiukwaji wa taratibu za vipimo, huku ikisisitiza kuwa matumizi ya vipimo sahihi ni muhimu katika kulinda haki za mnunuzi na muuzaji na kujenga biashara yenye uaminifu. Na Anwar…
18 September 2026, 17:17
Wananchi waiomba serikali kuharakisha usambazaji wa maji Mlodaa
Wananchi hao wamesema wanategemea visima vifupi na maji yenye chumvi. Hata hivyo, uongozi wa kata umeeleza kuwa changamoto hiyo inatarajiwa kutatuliwa kupitia mradi wa usambazaji maji. Mradi huo unatarajiwa kujenga vituo 18 vya maji, malambo ya mifugo na tenki lenye…
18 September 2026, 17:02
Wajawazito wahimizwa kuzingatia elimu ya afya ya uzazi
Familia imetakiwa kupata elimu na kupanga uzazi kwa kutumia njia salama na zinazotambulika kitabibu, huku wanawake wakihimizwa kufika katika vituo vya afya kwa ajili ya kupata ushauri na huduma stahiki ili kupunguza hatari zinazoweza kujitokeza wakati wa ujauzito. Na Daniel…
18 September 2026, 16:50
Wananchi wilayani mpwapwa walalamikia utupaji taka ovyo
Hali ya utupaji taka hovyo katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Mpwapwa imezua malalamiko miongoni mwa wakazi. Wakazi hao wanasema hali hiyo inachafua mazingira na kuhatarisha afya za wananchi. Wametaka mamlaka husika kuchukua hatua za kudhibiti tatizo hilo. Pia wamezitaka…
18 September 2026, 16:37
Ugumu wa maisha na ushawishi rika wapelekea wanafunzi kuacha shule
Vijana wametakiwa kuelewa kuwa mafanikio hayapatikani mijini pekee, bali wanaweza kutumia elimu na ujuzi wanaoupata kujiajiri na kutumia fursa zilizopo katika maeneo yao ya vijijini, pasipo kutegemea ajira pekee. Na mathias mgale. Umaskini wa familia, ushawishi wa marafiki pamoja na…
18 September 2026, 16:23
Miundombinu duni yaathiri upatikanaji wa elimu Mlodaa
Wazazi wameiomba Serikali kushughulikia changamoto ya uhaba wa walimu, upungufu wa madawati, ujenzi wa nyumba za walimu pamoja na vyumba vya madarasa katika eneo hilo. Na Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa ukosefu wa nyumba za walimu, uchakavu wa vyumba vya madarasa…
17 September 2026, 17:08
Wananchi watakiwa kulinda vyanzo vya maji
Hata hivyo, jamii inapaswa kuendelea kushirikiana na mamlaka zinazohusika katika kulinda vyanzo vya maji na miundombinu yake, ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa za mapema kuhusu vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama wa maji, ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa kwa wakati. Na:…