Recent posts
11 August 2026, 17:52
Madereva watakiwa kuacha matumizi ya simu wanapokuwa barabarani
Wananchi wameomba elimu ya usalama barabarani iendelee kutolewa kwa madereva na wamiliki wa vyombo binafsi vya usafiri, huku madereva wakihimizwa kuwasiliana kwa simu kabla ya kuanza safari ili kuhakikisha usalama wao na wa watumiaji wengine wa barabara. Na Daniel Njau.…
11 August 2026, 17:44
Maafisa usafirishaji watakiwa kuzingatia sheria za usalama barabarani
Jeshi la polisi limeendelea kuwataka madereva wa bodaboda kuzingatia sheria za barabarani na kutumia vifaa vya kinga ili kujilinda wenyewe, pamoja na watumiaji wengine wa barabara. Na Ramadhani Juma. Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani linawataka madereva wa bodaboda…
11 August 2026, 17:42
Jamii yatakiwa kuendelea kuchangia damu
Ziara hiyo ililenga pia kuhamasisha jamii, hususani vijana, kutambua umuhimu wa kuchangia damu na kushiriki katika kuokoa maisha. Na Bennard Filbert. Jamii imetakiwa kuendelea kujitokeza na kuchangia damu ili kusaidia kuokoa maisha ya watu wenye uhitaji wa damu katika maeneo…
11 August 2026, 17:20
Mama lishe Machinga walalamikiwa kumwaga maji taka mitaroni
Changamoto ya miundombinu ya soko la Machinga inachangia tatizo hilo, huku jitihada za kutatua kero hiyo bado zinaendelea. Na Grace Bugodi. Wafanyabiashara wa soko la Machinga jijini Dodoma wamelalamikia tabia ya baadhi ya mama lishe kumwaga maji taka katika mitaro…
11 August 2026, 17:05
Jamii yasisitizwa umuhimu wa kuendelea kulinda mazingira
Jukwaa hilo limekuwa fursa kwa wadau wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi kubadilishana uzoefu kutoka maeneo mbalimbali nchini, kujadili changamoto zinazowakabili wananchi na kuweka mikakati ya pamoja ya kulinda mazingira. Na Anwary Shaban. Mabadiliko ya tabianchi yameendelea kuwa changamoto inayogusa…
10 August 2026, 16:54
Vijana Dodoma walalamikia kipato kisichokidhi mahitaji
Ukosefu wa ajira ni moja ya changamoto kubwa zinazowakabili vijana kote duniani, hasa katika nchi zinazoendelea. Nchi nyingi zinakosa nafasi za ajira za kutosha kutokana na ongezeko kubwa la vijana wanaomaliza masomo kila mwaka Hali hii husababisha vijana wengi kubaki…
10 August 2026, 16:43
Wananchi mwatano walalamikia kero ya taka
Wananchi hao wametakiwa kutambua kuwa elimu ni nyenzo muhimu katika kukabiliana na changamoto ya utunzaji wa mazingira, huku wakisisitizwa kujenga utamaduni wa kutupa taka katika maeneo maalumu na kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na salama. Na Ramla Kimu. Wananchi wa Mtaa…
10 August 2026, 16:24
Wananchi watakiwa kuacha matumizi ya dawa bila ushauri wa wataalamu
Wananchi wametakiwa kufuata taratibu sahihi za matibabu, ikiwemo kupata ushauri wa wataalamu kabla ya kutumia dawa na kuzingatia maelekezo waliyopewa. Na Daniel Njau. Wananchi wametakiwa kuacha kutumia dawa, hususan antibiotiki, bila ushauri wa daktari na kufuata maelekezo ya wataalamu wa…
10 August 2026, 16:11
Akili unde inavyoweza kuleta ufanisi katika shughuli mbalimbali
Wakati matumizi ya akili unde yakizidi kuenea duniani, wataalamu wanaendelea kusisitiza umuhimu wa matumizi yenye uwajibikaji ili teknolojia hiyo iwe chachu ya maendeleo, ubunifu na fursa mpya za ajira badala ya kuwa chanzo cha changamoto kwa jamii. Na Kang’wa Mangala.…
10 August 2026, 15:55
Wananchi watakiwa kuwa makini na fursa za mitandaoni
Wananchi wametakiwa kutokubali tamaa za fursa zinazoonekana kuvutia mitandao bila kuzichunguza huku wakihimizwa kutoa taarifa mapema wanapobaini viashiria vya utapeli au usafirishaji haramu wa binadamu. Na Anwary Shaban. Katika kipindi ambacho mitandao ya kijamii imekuwa sehemu ya maisha ya kila…